stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 39,511
- 39,753
dangote anasubiria wakenya wachange, na wakenya wanasubiria dangote atumie ela zakeDangote hatoshani na mziki wa Vitol.
dangote anasubiria wakenya wachange, na wakenya wanasubiria dangote atumie ela zakeDangote hatoshani na mziki wa Vitol.
That's 1870 West Tower. Kusoma ndio hujui ama?Wakenya bhana.
View attachment 3652639
Hajui hizo lines ni za kazi gani. Nyasi itakuwa inashonywa kama nguo.Eti ooh tuonyeshe hybrid pitch iko wapi. Bongolala, do you have any idea why they are doing this? 😂😂View attachment 3652704View attachment 3652705