Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hapo sasa unaongea ila tia bidii zaidi na muachane zile visingizio eti sijui wazungu ndio walijenga Kenya. Kenya tumeujenga sisi wenyewe vile tu mnavyojenga Tanzania tofauti ni kwamba sisi ni more aggressive kuwaliko.
Wewe kichwa yako ni mbovu sana, hivi unaelewa maana nchi?, Nation is not just buildings and roads, ninyi hamjajenga nchi, ila mumejenga majengo na na infrastructure pekee, Tanzania ndiyo tuliojenga nchi, sasa hivi ndiyo tunatoa mkazo katika ujenzi wa majengo na infrastructure zingine.
Sasa kama hadi leo mnabaguana, kuna wanaohisi sio sehemu ya Kenya na hawapendibkuitwa Kenya, kazi zinatoliwa kwa misingi ya ukabila na uongozi wa nchi upo kwa misingi ya ukabila, utasemaje mumejenga nchi?, watu wenye akili ndogo kama wewe ni wengi sana huko Kenya ndiyo sababu uchumi nchi ya Kenya inaporomoka kwa kasi sana katika kila sector. Kabla hujasema kitu, jaribu kujiuliza hicho unachokisema unamaanisha nini, ni maendeleo gani unayozungumza?
 
Mnajitumaga kufanya nini sasa?
Maana Kenya 43% live below poverty line,
Youth Unemployment rates 45%,
Hunger kills millions every year,
Mnajituma kufanyaje? Au kugegeda Mbuzi na kuku na kubaka kina mama kwenye Maternity ?
Ni 45% mkubwa angalia kenya kwa hizo column za pili mwisho
 
Hapo sasa unaongea ila tia bidii zaidi na muachane zile visingizio eti sijui wazungu ndio walijenga Kenya. Kenya tumeujenga sisi wenyewe vile tu mnavyojenga Tanzania tofauti ni kwamba sisi ni more aggressive kuwaliko.
Tunakuja kwa speed ya light...
 
Those guys are just applying basic chemistry lessons they learnt in school to earn a living. I wonder if chemistry is ever taught in Tanzanian 'schools'
Ficha aibu yako saa ingine,Kuna nn mnasoma cha ziada apo ke? Masomo ni yaleyale uache kujiondoa ufaham
 
Mnajitumaga kufanya nini sasa?
Maana Kenya 43% live below poverty line,
Youth Unemployment rates 45%,
Hunger kills millions every year,
Mnajituma kufanyaje? Au kugegeda Mbuzi na kuku na kubaka kina mama kwenye Maternity ?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Those guys are just applying basic chemistry lessons they learnt in school to earn a living. I wonder if chemistry is ever taught in Tanzanian 'schools'
We never teach Chemistry now days, we are concentrating more in teaching tribalism and corruption so as to get status of Lower middle income country earlier[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
We never teach Chemistry now days, we are concentrating more in teaching tribalism and corruption so as to get status of Lower middle income country earlier[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Bado ni story tu Ambayo inaeza elezewa na mtu yoyote ... Juma boi alikua senator wa Kwale, county Ambayo iko kwa top 5 poorest counties in Kenya... Fanya hivi basi, next time ukija Nairobi chukua mapicha mengi kabisa na uyabandike hapa kuanzia border point hadi ukifika destination
 
Muhimu nikifika nitakutafuta tuonane, mimi sio mzuri sana katika kupiga picha, nitakutafute tukutane pale Yaya Centre ndani kuna mall nzuri sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…