Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Imagine you can post this render and accompany it with the construction progress when asked to do so. Kuna mwenye atapost render ya 12 floors but ukiwaambia akuonyeshe sasa construction progress anakuambia hana time🤣🤣😂
Atakwambia nenda kagoogle utapata.😂😂😂
 
What happened to modern stadiums that have foldable seats? We were told no modern stadium uses bakuli seats anymore 🤣🤣🤣
The guy also said that Makwapa will have foldable seats all round🤣😂😂

 
But mwambie akuonyeshe picha za BRT uone ukijaziwa pages Tatu na picha latest latest za BRT, lakini ikifika kwa 20 floors building watakuambia hao hawapendi kupiga mapicha🤣🤣😂😂
Ni kweli, Watanzania hatupigi sana miji yetu picha kama Wakenya
Ni Bertin ndio anasaidia sana kuonesha maeneo kadhaa ya Tanzania na watu wanatoa picha huko. Bertin bado kuna sehemu nyingi sana Tanzania hajafika na siku akienda utaona watu wataanza kuzipost humu, ni kwa sababu picha recent za maeneo mengi Tanzania kuzipata ni ngumu
 
Ebu tuonyeshe hizo 32 towers let alone zenye ziko 20 floors. I watched that video from start to finish na buildings zenye alionyesha hata hazifiki kumi😂😂
Kama hazifiki 10 it's okay. Hawezi kuonesha zote maana Upanga ni kubwa
 
But mwambie akuonyeshe picha za BRT uone ukijaziwa pages Tatu na picha latest latest za BRT, lakini ikifika kwa 20 floors building watakuambia hao hawapendi kupiga mapicha🤣🤣😂😂
Akina Rrondo watakwambia uenda kuangalia video ya Bertin. Lakini waambie wakuonyeshe picha za electric train uone.😂😂
 

Museveni anajua watu wa fitna na husda wanakaaje! Imagine walikataa kushiriki EACOP kisa inapita Tanzania! Saahii wanataka kufaidika na benefits za EACOP! Hawa watu ni wabinafsi na Dangote anaenda kuumia akiwaendekeza!


View: https://x.com/stats_wire/status/2087941328101376208
MY TAKE
Kuna sababu kwann natumia slogan ya Museveni jamaa hakurupuki!

“if puppies are young, you don’t know which one will be a better hunter, so you feed all of them and when they grow you see which one emerges the best hunter” Yoweri Kaguta Museveni.

Kumbukeni kipindi cha kuwania EACOP, kwanza ni hivi media yao ilikuwa arrogant!

View: https://youtu.be/ICZ-dQENf9A?si=FwPF9iAhvo4Ik1Ug
Walipoona muelekeo wakaanza huu ujinga!

Then wakapigwa na kitu kizito!

View: https://youtu.be/WqCb5AP0CJU?si=MkZfYiVtKwMrmPVG
Hiyo slogan aliitumia baada ya Uhuru kukataa ku-support mradi wa EACOP pale Kampala baada ya kuamuliwa kupita Tanga!

Uhuru aliporudi Nairobi akatoa hii statement na akaanza safari za Paris kujaribu kupindua maamuzi ya Kampala!

View: https://youtu.be/RR6HYRl0U_Q?is=nI9QdTb_TyRudeCo

View: https://youtu.be/DSFKCADGIaE?si=n8zUKAoqEFUkkhYV
View: https://youtu.be/hMdrd1ec_74?si=tBHyFWABvneNuQmy
CC: Teargass Nicxie NairobiWalker nairobae mwathadan n IamLee
 
Si ati hampendi kupiga mapicha, that answer only comes out when it comes to showing buildings under construction. Mbona jana vile Nicxie aliharibu kuongelea Jangwani bridge mlimrushia mapicha hapa karibu Jamaa wetu apoteze ufahamu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…