KichwaNgumu254
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 1,284
- 1,154
Na nyie kupost railway station kila siku imekua big deal.Nyie jombaa huwa mnajisikia sana wakati ahsante mkolooni 80% mambo yaliachwa na Waingereza ndiyo yanawabeba 20% ndiyo contribution yenu
Maendeleo kwenu ni tofauti sana na kwetu, sisi tunajali maendeleo ya watu, wapate chakula, nyumba za kuishi, huduma bora za afya na maji, na ajira kwa vijan, ninyi maendeleo ni kuwa na majumba marefu, Malls na matajiri wachache wenye kumiliki uchumi wote.Ok,from today onwards hatutaki kuona those dwarf twin towers za Dar! Hata kwenu wakoloni walikua na hata masultan mbona hawakuwaachia hata 20% ya maendeleo!
Mijinga hiyo haielewagi na ndio maana imeridhika kukaa maeneo ka kibera sa mijitu ka hiyo utasema ina akili kwel???Maendeleo kwenu ni tofauti sana na kwetu, sisi tunajali maendeleo ya watu, wapate chakula, nyumba za kuishi, huduma bora za afya na maji, na ajira kwa vijan, ninyi maendeleo ni kuwa na majumba marefu, Malls na matajiri wachache wenye kumiliki uchumi wote.
What is the point of having bigger GDP but you can't feed yourselves, you can't create jobs for your people, thousands of Kenyans cross to Tanzania looking for greener pasture.
If you don't mind,tupatie short story abt Lupita, amekulia wap utoto na imekuaje hadi kufikia apo alipo...lupita Nyongo..true kenyan and very beautiful...No Tanzanian can reach her limits with your poor EnglishView attachment 681197 View attachment 681198 View attachment 681199 View attachment 681200
NI Mkenya periodIf you don't mind,tupatie short story abt Lupita, amekulia wap utoto na imekuaje hadi kufikia apo alipo...
Dimond owns a lavish property in some Nairobi posh suburbs, don't you know that? He may own you.
Diamond Platnumz sparks excitement among his Kenyans fans after buying a humongous mansion in Nairobi,Is he moving to Kenya? (Video)[/QUOTE
Because he has seen something better in Nairobi than the common bongolala like you bashing Kenya day in day out!
Pole sana kaka. Ukweli kawaida huwa inaumizaMaendeleo gani hayo mlioachiwa urithi au kuna mengine???[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Haha uvivu tu ata kuandika sentensi umekwama..NI Mkenya period
Point ninkwamba, kwanini nchi imeshindwa kutengeneza mazingira mazuri ya kuwapatia ajira wananchi wake, ambalo ndio kipimo cha ubora wa serikali, badala yake Kenya imekua ni source ya economic exiles and refugees?, it is a failed state.Kenyans are go getters! Even in Somalia,Kabul na Libya wako ni sembuse Tanzania!
Nairobi ni kubwa be specific ni wapi ulifanyia wamerikani(kumbe Wewe ni kibaraka wa wazungu) kazi la sivyo hujawahi toka Tz.Nimefanya kazi hapo Nairobi kama mfanyakazi wa shirika la wamarekani, ninafahamu jinsi mnavyobaguana kwa misingi ya ukabila katika sectors zote, kuanzia elimu, ajira, maeneo ya kuishi watu na hata katika nyumba za ibada, kwahiyo acha kutudangaya kwamba ubaguzi ni wakati wa uchaguzi pekee.
Kuhusu maendeleo, Tanzania ipo mbali sana na kamwe hamuwezi kuifikia tena. Kwetu tunapima maendeleo ya nchi katika mambo yafuatayo,
1)Uwezo wa wanainchi kupata lishe bora
2)Uwezo wa wananchi kuwa na makazi yenye hadhi ya kuishi binadamu
3)Uwezo wa wananchi kupata matibabu bora
4)Upatikanaji wa ajira kwa wananchi walio wengi
5)Kupungua kwa kiwango cha umasikini miongoni mwa wananchi
6)Kupunguza tofauti ya kipato kati ya masikini na tajiri
Katika hayo, onyesha ni wapi Kenya imeizidi Tanzania?. Au wewe sema maendeleo ambayo unayasema wewe ni yapi?
Tanzania iko mbali sana kimaendeleo yet mko listed kwa ldc. Look at your poor souls danganyikans. The country in front of you is Kenya, and will slways beNimefanya kazi hapo Nairobi kama mfanyakazi wa shirika la wamarekani, ninafahamu jinsi mnavyobaguana kwa misingi ya ukabila katika sectors zote, kuanzia elimu, ajira, maeneo ya kuishi watu na hata katika nyumba za ibada, kwahiyo acha kutudangaya kwamba ubaguzi ni wakati wa uchaguzi pekee.
Kuhusu maendeleo, Tanzania ipo mbali sana na kamwe hamuwezi kuifikia tena. Kwetu tunapima maendeleo ya nchi katika mambo yafuatayo,
1)Uwezo wa wanainchi kupata lishe bora
2)Uwezo wa wananchi kuwa na makazi yenye hadhi ya kuishi binadamu
3)Uwezo wa wananchi kupata matibabu bora
4)Upatikanaji wa ajira kwa wananchi walio wengi
5)Kupungua kwa kiwango cha umasikini miongoni mwa wananchi
6)Kupunguza tofauti ya kipato kati ya masikini na tajiri
Katika hayo, onyesha ni wapi Kenya imeizidi Tanzania?. Au wewe sema maendeleo ambayo unayasema wewe ni yapi?
Hata kama nilifanya kazi Kibera, hiyo ni Kenya na inawakilisha Kenya, yanayotokea Kibera yanawakilisha Kenya nzima, muhimu ni kujua kwamba, ukabila umeenea nchi nzima na upo kila sehemu, sio kweli kwamba ni wakati wa uchaguzi tu.Nairobi ni kubwa be specific ni wapi ulifanyia wamerikani(kumbe Wewe ni kibaraka wa wazungu) kazi la sivyo hujawahi toka Tz.
Bitter pill njoo haraka unaitwa na mwanaLDC mwenzako.He has more than three big and posh houses in Dar, swallow that bitter pill.
Na nyie mngekua wachapa kazi Dar es salaam haingekuwa dar us slum as it is right now. Kibera is a very small area of Nairobi ila dar yote ni slumMngekua wachapa kazi kibera ingekua imechange zaman sana ...kazi gan mnazofanya kwanza???kulima hamlimi, ajira hamna, labda kazi ya ukora hahahaha idiots
Waendelee kutunusa matako hata tukitaka kuwajambia au kuwaharia puani na midomo kwa raha zetu.Tanzania iko mbali sana kimaendeleo yet mko listed kwa ldc. Look at your poor souls danganyikans. The country in front of you is Kenya, and will slways be
Point ninkwamba, kwanini nchi imeshindwa kutengeneza mazingira mazuri ya kuwapatia ajira wananchi wake, ambalo ndio kipimo cha ubora wa serikali, badala yake Kenya imekua ni source ya economic exiles and refugees?, it is a failed state.