Mimi ni mbongo lakini kulinganisha Dar na Nairobi ni insane wandugu. Nairobi mji umepangika sana na upo vizuri sana kuliko jiji langu la Dar. Yes, kuna slums area kama Kibera, ila Dar ina slum pia Manzese, M'nyamala huko, mbagala nk. Nairobi iko kwenye level ya majiji kama Johannesburg, Pretoria, Cairo, Addis Ababa n.k. Dar bado sana, mpangilio wa jiji umeharibiwa na ujengaji holela wa sehemu za wazi za mapumziko ya watu na viwanja vya michezo. Jiji kupendeza sio majengo ya maghorofa ni pamoja na mpangilio wake na miundo mbinu pia.