Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

No green space no playing ground no privacy no tranquility no air no sewage hivi mnawezaje kuishi kwenye hizi vertical slums culture! Halafu eti hii ndio upper class 😂😂
No green space no playing ground no privacy no tranquility no air no sewage hivi mnawezaje kuishi kwenye hizi vertical slums culture! Halafu eti hii ndio upper class
 
Maku hiyo refinery yenu hata ahituhusu sisi,tunachojua $20 bilioni inaenda kuwekeza tanga,sasa kama pesa yote hiyo haijengwi refinery itakua inajengwa nini maku ww?
Hakuna Refinery inajengwa Tanga. Hata rais wenu anajua hilo hata ndio maana haongelei😂😂🤣
 
Roho lazima ziwaume,tumewapiga chenga ya mwili,walitaka wajichomeke EACOP kwa mgongo wa nyuma 🤣🤣
Wazee wa kujia tia kama ushuzi wa ngomani. Kila wakijaribu kujipenyeza tunawafurusha. 😂😂😂

Taifa lao halina fyucha 😂 sasa wanaforce fyucha … 😂😂😂

Mimi naona wajikite tu kujenga hizo affordable housing, labda wataokota okota hizo kodi za walala hoi ziwasaidie kujiendesha kiuchumi chao. 😂😂😂
 
Kwani mnajenga refinery?😂😂🤣😂

Ama Dangote amehama Tanzania na hatujui?🤣🤣😂
 
Kwa kinachoendelea unadhani Dangote atajenga Refinery hapo ukunduni.? Unadhani yeye atataka kupata hasara .? 😂😂😂 ngoja uone.
So what happens when construction begins?.. we know your song gonna switch to “ it will never be finished “. You are such easily predictable fellas …🤣🤣🤣🤣
 
Pull up gang, kwanza that looks like my route !
 
So what happens when construction begins?.. we know your song gonna switch to “ it will never be finished “. You are such easily predictable fellas …🤣🤣🤣🤣
BTW his requirement for state protection is already broken, and there is nothing he can do when other nations have decided to go with their own way of domestic refinery
 
I know Umoja in and out. It's 90% apartments na zote ziko na sewer system. Let the nyamwezis console themselves with their pit latrines while thinking Nairobi has them too





and many more comming
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…