Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mtu akiona hii post hawezijua Museveni atakataa kutaja mambo ya Tanga refinery πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚.

Mzee wetu amekaa pale juu anajisemea Tu vile hizo ni uongoπŸ€£πŸ€£πŸ˜‚
Isnt that amaizing pipe imepita kwenye uongo πŸ˜‚
 
Mind you Uganda is also planning on refining their oil. So sijui hiyo yenye wanapanga kurudisha Uganda itakuwa ya KAZI gani?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
Wanabebwa ufala na hawaoni, huyo government spokesman wao amezoea kuropokwa hata hao wanajua. Anawashow eti wanaunda refinery Tanga na Museveni amesema inajengwa Hoima. πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Wanabebwa ufala na hawaoni, huyo government spokesman wao amezoea kuropokwa hata hao wanajua. Anawashow eti wanaunda refinery Tanga na Museveni amesema inajengwa Hoima. πŸ˜‚ πŸ˜‚
ndo tunapenda ivo, si unaona ata kuropoka kwake uganda is shipping its field oil next month
 
Mark you Museveni was there when the MoU was being signed πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£
sasa shida iko wap? unashangaa saini tu na kuna wengine walianza ujenzi kabisa wa BRT na saaahv imebaki nyumba za goons πŸ˜‚
 
Ukisikia jina ya Dangote unahara. πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Reminds me last week he raised money to extend his nigeria refinery πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ meanwhile Teargass is waiting for it to start πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wanabebwa ufala na hawaoni, huyo government spokesman wao amezoea kuropokwa hata hao wanajua. Anawashow eti wanaunda refinery Tanga na Museveni amesema inajengwa Hoima. πŸ˜‚ πŸ˜‚
Huyo anakuanga muongoπŸ€£πŸ˜‚
 
Wanabebwa ufala na hawaoni, huyo government spokesman wao amezoea kuropokwa hata hao wanajua. Anawashow eti wanaunda refinery Tanga na Museveni amesema inajengwa Hoima. πŸ˜‚ πŸ˜‚
Even their President is not talking about the Tanga refinery πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£.

Yani something big like refinery wakubaliane kujenga Tanga alafu the two presidents wakose kutaja in their reporting?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://x.com/i/status/2085348509323047053
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…