Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

sjui kwann Uganda wanakomaa na namboole wakati wana stadium nzuri kabisa, this would have made a nice opener

View: https://youtu.be/LxPdl2YpfMQ

Capacity ndogo 20,000 seats! Halafu Kumbuka huko ni nje ya Kampala! Fans wanafikaje Lira na wanalala wapi? Hivi unajua katika hosts ni Tanzania tu imeweza kuwa na confidence ya ku-host nje ya capital city? Na naamini hata majiji kama Mwanza na Dodoma yangeweza kama viwanja vingeanza kujengwa on time!

View: https://vm.tiktok.com/ZGdxjNnxK/
 
I remember they sang Avic for 3 straight months. Hatukupua hapa … now suddenly sio mzuri kwao juu there are no buyers . I don’t know about my fellow Kenyans but I only get engaged here for entertainment purposes only . It’s fun dealing with indoctrinated fools . You learn alot.. 🤣🤣🤣🤣🤣
Ni hii video inakutiririsha machozi yote haya au ni ile ya Burka Arusha?

View: https://youtu.be/0Yb10bS67Jk?is=UdsOrteyPC9WH0YZ
 
Si huwa hamsoni vyuo vya Tanzania! Kwa sababu “elimu yenyu” ni “bora” kumbe mmejazana hadi kwenye vyuo vidogo Tanzania.
 
I remember they sang Avic for 3 straight months. Hatukupua hapa … now suddenly sio mzuri kwao juu there are no buyers . I don’t know about my fellow Kenyans but I only get engaged here for entertainment purposes only . It’s fun dealing with indoctrinated fools . You learn alot.. 🤣🤣🤣🤣🤣
Free entertainment. 🤣🤣🤣
 
All I am saying is if you wanna take up a “valuable task “ (like being our WAFCON reporter), there is an important thing called consistency… check the dictionary meaning…didn’t they teach you that @ CCM school of indoctrination ?..🤣🤣🤪🤪
Nairobi united finished with ZERO points last time, Harambee single mothers the same ZERO so indeed kenya has consistency in achieving ZERO points
 
Back
Top Bottom