Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Malalamiko yashaanza, kwan sisi tuliwambia msilime

View: https://vt.tiktok.com/ZS4NpVMVF/

Kila goti litapigwa, tumeondoa middle men kwenye mahindi sasa hivi makampuni yao yanakuja direct kununua tz kwa stakabadhi ghalani, acha njaa izid kukolea.
Uzuri kulipia stakabadhi ghalani Kila kitu unamalizia ofisi moja , wewe ni kwenda na kuchukua vibali halmashauri na kuanza kupakia tu
 
Of course watanzania wanapenda kuombaomba kwa barabara, Nyinyi hamjui kuomba kazi ni kuomba chakula na hela kwa nchi jirani
Na huku ni South Africa

 
Uwe unasoma bila kukurupuka from the start nimesema profit per plate kwa tz ni 500 , cost of purchase sack ni 75,000 hakuna transport cost sababu huwa distributed na wauzaji , rudia kasome post za nyuma utajifunza zaid sio unakuja kurupuka mwishoni
Here is your initial post in full (including amarii’s like 👍 ) show me where you highlighted any expenses
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…