Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

My parents live in Rural Tanzania but they have a better house than majority of KenyansView attachment 3639041
Halafu mimi bado ni young, nasoma. Sina nyumba bado, ila najua sitaishi kwenye affordable houses kama nyie ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Thanks for being honest, now keep quiet and learn about bicycle repairs pole pole.
 

Unataka statistics kwa informal sector kweli nyinyi mazumbukuku.๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Sasa kwanza nikupe tu hesabu ya muuza chips wa kawaida sana kwa sehem kama Dodoma au aliyekaribu na chuo, stendi na kadhalika .
Faida ya sahani moja huwa ni 500 tsh per plate .
Wengi kwa siku wanauza zaidi ya plates 100 , so wanalala na zaid ya 50,000 hapo hatujaweka hesabu yavipaja vya kukubmishikaki na kadhalika .
Kwa siku 25 anatoka 62500 ksh .
Sasa jiulize kwa hiyo pesa anashindwa kujenga nyumba ya 25mil kwa miaka miwili ?
Buda tanzania sio Kenya.
Huku hata kondakta wa basi au dereva wa kawaida tu anamiliki hiyo mijengo
 
Anadhani Tanzania ni Kenya, huko Kenya kuna maeneo hadi leo ni heri hata South Sudan
Watanzania sikuhizi wameanza kujenga nyumba nzuri hadi vijijini. Vijana wengi sana wamejiajiri kwenye sekta ya ujenzi kwa sababu kila siku kila wiki nyumba mpya zinajengwa. That's why huwezi kukuta affordable houses za serikali zikiwa trending topics in Tz.
 
Faida ya sahani moja huwa ni 500 tsh per plate .
Do you even know how profit and loss in calculated? Kindly tell us how you have arrived to this profit.

1. What's the cost of viazi per plate?
2.What's the cost of cooking oil per plate?
3.What's the cost of energy per plate?
4.What's the cost of tomato source/Chilli Source per plate?
5. What's the cost of salt per plate?
6.What's the cost of labour?
7. What's the cost of electricity per plate?
8. What's the cost of rent per plate?

Now tell us how much is the selling price per plate.

From there we can calculate if they are making profit or losses.
 
So in short you have been busy posting other people's houses instead of yours wewe fundi wa baiskeli?
Yeah, hizi ni nyumba za Watanzania wa kawaida huku Mbeya, ambako ndio nasoma sasahivi, just so you know.
Kingine wewe ni kichwa ngumu, sehemu yoyote ile duniani ngumu kukuta mtu wa my age anamiliki nyumba, you on the other hand ulikuwa unabrag mara kwa mara the way una umri mkubwa kuliko mimi. So come on, show me your house. Don't be such a pussy
 
Nyumba za watu WA kawaida Mbeya.

View attachment 3639045
Hiyo mitaa ilijengwa miaka ya zamani sana huko 2000s wakati Watanzania wana hali mbaya kiuchumi.
Sikuhizi watu wakijenga nyumba nzuri wanahama, halafu nyumba zao za zamani wanatumia kupangisha wageni wanaokuja Mbeya kujitafuta kimaisha, hawazibomoi. Na bado zina afadhali kuliko za Kenya ambazo zimejengwa kwa mabati na matope

Sikuhizi, Watanzania wanakua kiuchumi kwa kasi sana ndio maana leo hii ukija Mbeya kuna ujenzi wa kasi sana mitaa mipya. Kila mtu anajenga nyumba nzuri kwa speed ambayo you'll ever dream of in Kenya. Nyinyi subirini Ruto amalizie zile affordable houses zenu ndio mpate pa kuishi, ambako napo in just 5 years panakua kama Pipeline ๐Ÿšฎ
 
Sasa mbona uandike composition when the truth is here?๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
 
Your point ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

View attachment 3639068
This place was a bush 3 years ago
Sasa huku ndio wakazi wa Mbeya wanakojenga. Mitaa ya hivi ipo mingi na ndio inareflect uchumi wa average Tanzanians in 2026
Just 5 years to come these houses will be everywhere in Mbeya. Tunaendelea faster than you. Tunazidi kuwaacha nyuma kwenye maisha ya mtu mmoja mmoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ