Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


Yaan hiyo nyumba ya tz inajenga nyumba zenu kama hizo 10 .



Ebu linganisha na hizi zenu sasa 🤣🤣🤣🤣🤣
Mabati ni kwa ajili ya kuelekea sio kwa ajili ya ukuta, Tena mnatumia gauge 32 , yaan the lowest quality kujengea ukuta,
 
Kwanza upewa simple BOQ ya hiyo nyumba halafu linganisha na mabati house ya kwenu .
Iron sheets 170*32,000= 5,440,000
Blocks 2500*1200=3,000,000/=
Aluminium windows 8*350,000= 2,800,000
Window grills 170,000*8=1,360,000.
Mbao za kuezekea
2*3= 150*4500=675,000
2*2= 80*3000
2*4=40*5000= 200,000
Nails 4' = 25kg*3500=87,5000

Sasa calculate hapo uupate total ,ujiulize ingekuwa Ukunduni tingetoa nyumba ngapi?🤣🤣🤣🤣
Halafu hapo ni Kijijin sasa , imagine nyinyi mnajenga mabati house Nairobi.
Tukusaidie tu jumla ni ksh 672,125 bila interior finishing , yaan bati liliotumika tu kwa nyumba za Tanzania zinajenga nyumba nzima ya ukundustan mpaka finishing ndani🤣🤣🤣🤣.

Tanzania tunajenga kwa pride A.K.A sifa
 
Around 15 buildings or more.
Hazihesabiki , sababu nyingi zinajengwa , wao wanaweza zihesabu kwa sababu ni chache,
Mfano wao sasa hivi wanakiwanja kimoja kinajengwa mtandao mzima umetuna ila tz kuna viwanja zaidi ya vitatu vya mpira vinajengwa na husikiki kelele yoyote mtandaoni.
Nhc Kila siku ana miradi inaendelea kujengwa na Wala husikii kelele zinapigwa
 
Buildings above 20 floors that are under construction in Dar are less than 4. So in short bado there are less than 40 buildings with 20 floors and above in entire Tanzania. Westlands alone is building that 40 as we speak.
 
Hazihesabiki ama hazionekani?😂😂
 
Hazihesabiki sababu ni nyingi sana, tafuta video yoyote ya kariokoo letsay uone construction inavyoendelea Kila mtaaa
It's up to you to show us those video to prove your point. Sisi tumesema haziko, so it's up to you prove us wrong.

Now post, I'm waiting 😂🤣
 
Buildings above 20 floors that are under construction in Dar are less than 4. So in short bado there are less than 40 buildings with 20 floors and above in entire Tanzania. Westlands alone is building that 40 as we speak.
Sasa k
Sasa kama mnajenga na bado mnatumia vitu cheap kama madirisha haya si Bora tusijenge kabisa🤣🤣🤣🤣
Dizaini ya haya madirisha mwisho kuyaona ilikuwa 2002 Tena mashuleni
 
Wewe sokwe mnuka mavi njoo na takwimu yako kama wewe unaijua Dar kuliko mimi.
Ebu tuonyeshe hizo 15 buildings under construction that will go above 20 floors basi.

Just show us the construction progress and any evidence that they will go above 20 floors
 
So Kenyans in JF want to convince us that these houses are ugly just because of high rise roofs? Halafu zao ambazo hadi ukuta wanajenga kwa mabati ndio nzuri? Na madirisha yao kama primary schools
Kweli ujinga ni kipaji 😂😂



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…