Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,293
- 107,943
miji kama stone town ipo hata Ulaya!Kwa hivyo locals ndio wanaishii kwenye hizo 5 stars hotels.
99% of Zanzibari has never set foot in those 5* hotels you are talking about. Hata wewe na uzee wako wote hujaikanyaga those 5* hotels in Zanzibar.miji kama stone town ipo hata Ulaya!
Kuna mambo ya kimkataba kati ya TRC, Muuzaji na Broker waliyemtumia. TRC walivunja mkataba na dalali wa Turkey mabehewa yamekwama Ujerumani locomotives 2 na behewa 24 out 30 bado hazijakuwa deliveredHawa wapumbavu waliyakiwa walete zile double deckers
Huyo nimemuangalia nikachoka. 🤣 🤣Sawa Nyamwezi View attachment 3637990
Any news kuhusu mstakabali wa huzo behewa?Kuna mambo ya kimkataba kati ya TRC, Muuzaji na Broker waliyemtumia. TRC walivunja mkataba na dalali wa Turkey mabehewa yamekwama Ujerumani locomotives 2 na behewa 24 out 30 bado hazijakuwa delivered
Hii ndio ile Masidisi Benzi stediam? 🤣 🤣
This stadium's interior is very ugly Geuza.#Teaser Afcon 2027#
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/mkoa.arusha/posts/pfbid02PtGpJ228GGpJqZfcb8CaM8TKCgWm82o3r6xqsvVciAWeKb2nLfwospsKwGknpPjDl?__cft__%5B0%5D=AZaJVjZoxVm5IOSKsiCHiGUjM3KPRg7Q5Ano1CksIniIAkCORwCTZQMzrHb8lp6zJTxXgh3NjFcfybaEZapwwzPro3AGxXekNycPUMzX1k5ahTiA_X9n8my1BkIcYi6UccUXpwEJH-HPARDxxFH2Ed1JADloWMEQev-EXrUVK1ixxZ4MO66zL6j-jOWZfiZpIb_UCghmLF_kh9STzHwnfaBA&__tn__=%2CO%2CP-R
Eee, hata hao hawaamini vile iko low quality Hadi wanasema ATI it's still under construction and that's why the floor and the walls are that ugly.Hii ndio ile Masidisi Benzi stediam? 🤣 🤣
Walai kumbe Nairobi kuna slums nyingi hivi. Kumbe huwa sitembei Nairobi?Au labda wanapika data, cause the real situation in Nairobi is so sad 🥲
Nairobi 👇
View attachment 3637796View attachment 3637797View attachment 3637798View attachment 3637799View attachment 3637800
Leo hii wamejua mambo ya still under construction na juzi wamekuwa wakipost concrete surface ya Talanta wanasema low quality ukiwaambia haijapakwa rangi utakuwa unapigia mbuzi guitar.Eee, hata hao hawaamini vile iko low quality Hadi wanasema ATI it's still under construction and that's why the floor and the walls are that ugly.
Kisumu kwa Zanzibar ni takataka. Be it infrastructure or buildings.
Sawa.Kisumu kwa Zanzibar ni takataka. Be it infrastructure or buildings.
If you look keenly the interior finishing is at the advanced stage hata kuliko ya Talanta lakini sasa quality ndio iko chini.Leo hii wamejua mambo ya still under construction na juzi wamekuwa wakipost concrete surface ya Talanta wanasema low quality ukiwaambia haijapakwa rangi utakuwa unapigia mbuzi guitar.
Hata kama ulie huo ndio ukweli ..
Wivu 😂😂
Ila Talanta ni big ugly stadium. Huo ni ukweliLeo hii wamejua mambo ya still under construction na juzi wamekuwa wakipost concrete surface ya Talanta wanasema low quality ukiwaambia haijapakwa rangi utakuwa unapigia mbuzi guitar.