joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Hatuishi kwa hesabu za kichwani, kama huna chakula hizo hesabu za bilioni zinasaidia nini?, mnatia aibu bara la Africa kwa kutegemea chakula cha wazungu na wachina huku mkiendelea kuimba billions za hewaniMan shall not live by bread alone and that's why we ain't in the pathetic, unfortunate and sad LDC list. Fikisheni angalau $49 billion mwaka huu Kwenye GDP yenu ya kuhurumiwa.
Tumewazoea si hata Bagamoyo mlisema hivyo hivyo hata hatukupumua huku kwa news na renders haziishi? Wapi bagamoyo 7 years later ama pia ipo Kwenye mbwembwe launch bado construction launch?SGR haina 5 months tokea iwe under construction launch is not construction
Number of Kenyans going hungry doubles to three millionTumewazoea si hata Bagamoyo mlisema hivyo hivyo hata hatukupumua huku kwa news na renders haziishi? Wapi bagamoyo 7 years later ama pia ipo Kwenye mbwembwe launch bado construction launch?
Number of Kenyans in need of food aid over 50% | WFP | United Nations World Food Programme - Fighting Hunger WorldwideLeast developed country...lol
fedheha
Nyinyi ni aibu hadi mbinguni kwa kuwa Mungu kawabariki na kila kitu si rotuba, mbuga za wanyama, madini ya thamani kubwa, Ziwa kadhaa, bahari na Nchi kubwa Kisha mnamalizia LDC.... WTF man????Hatuishi kwa hesabu za kichwani, kama huna chakula hizo hesabu za bilioni zinasaidia nini?, mnatia aibu bara la Africa kwa kutegemea chakula cha wazungu na wachina huku mkiendelea kuimba billions za hewani
.Fikisheni angalau $49 billion mwaka huu Kwenye GDP yenu ya kuhurumiwa.
Sio Sisi tunasema tuko na GDP kubwa mbali ni WB, IMF na pia Tz.Number of Kenyans going hungry doubles to three million
Mbona ninyi kila siku mnasema mpo na GDP kubwa lakini njaa imewashindabkupambana nayo, sasa faida ya hiyo GDP yenu ninini?
Naona Kenya ikiwa mbele ya Tz. Next please.
Uhuru trolled for receiving 'food rations' from UAE - Nairobi NewsNyinyi ni aibu hadi mbinguni kwa kuwa Mungu kawabariki na kila kitu si rotuba, mbuga za wanyama, madini ya thamani kubwa, Ziwa kadhaa, bahari na Nchi kubwa Kisha mnamalizia LDC.... WTF man????
Hahaha zaidi ya GDP mna njaa kali and biggest world's slumTumewazoea si hata Bagamoyo mlisema hivyo hivyo hata hatukupumua huku kwa news na renders haziishi? Wapi bagamoyo 7 years later ama pia ipo Kwenye mbwembwe launch bado construction launch?
Kusema mna GDP kubwa, lakini wanashangaa kuona nchi yenye GDP kubwa ibapokea msaada wa chakula, wanajiuliza hiyo GDP kubwa inatumikaje?Sio Sisi tunasema tuko na GDP kubwa mbali ni WB, IMF na pia Tz.
Chakula utaleta hadi uchoke lakini LDC hatuingii NG'O!Uhuru trolled for receiving 'food rations' from UAE - Nairobi News
Hawa ardhi yao yote ni jangwa, lakini wanawapa food donations, ninyi 20% ya aridhi yenu ni arable, more than the size of Rwanda na Burundi combined, lakini bado mnashindwa kujilisha hadi mnatutia aibu hapa EA.
Chakula chenu kingi hakijawatoa LDC Kwani kinatumikaje?Kusema mna GDP kubwa, lakini wanashangaa kuona nchi yenye GDP kubwa ibapokea msaada wa chakula, wanajiuliza hiyo GDP kubwa inatumikaje?
Tumewawashia ki muli muli.Naona Kenya ikiwa mbele ya Tz. Next please.
Nyinyi mtaendelea kudhalilika na kupewa chakula, sisi ldc tunakula na kumwaga chakula, kamwe hatunyanyasiki kwa misaada ya chakula[emoji23] [emoji23]Chakula utaleta hadi uchoke lakini LDC hatuingii NG'O!
Na yote ni ya Kenya hata hiyo GDP kubwa kuliko yenu.... HahahahahahahaHahaha zaidi ya GDP mna njaa kali and biggest world's slum
GDP yenu kubwa haijawasaidia kupunguza umasikini na njaa, wazee wa njaa ninyiChakula chenu kingi hakijawatoa LDC Kwani kinatumikaje?
Tumewawacha mumelala kifudi fudi.Tumewawashia ki muli muli.