Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wish??[emoji23] Angalia plates number za Magari angalia apo utaona Kikwete bridge[emoji23][emoji23] ..Kawasimulie na wenzako Wa Mathare
Unasema hakuna nchi inaifikia Tanzania kwenye barabara ndani ya EA, that's wishful thinking na hizo ndo huwa zenyu...Fanya utafiti nani anaongoza EA kwa barabara....Tanzania aongoze kwa barabara zipi????
 
Acha uongo wewe.. Kenya barabara nzuri zipo mjini tu Za kwenda mikoani ni hovyo kabisa.. Hamuwez kushindana na Tz kwa barabara za viwango vya juu za kwenda mikoani.. Ukizingatia Tz ni kubwa Mara 2 ya Kenya lakini bado tumendaza lami yenye ubora na kiwango zaid yenu..

Eb ona hapa[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…