7600km of paved roads ati leading in East Africa....jamaa bongolala kweli. Ukimwambia alete credible data kuonesha Tanzania has more than 7600,km of paved roads anaanza hadithi za hekayajoke of the century... .a country
with a meagure 7600km of one laned roads
we unajua chato airport imeambatana na mkoa gani tuanzie hapo???Haaa! Mzee mm niko neutral ila upotoshaji ndo sikubaliani nao,afu kama kuna project au anything on our side kwa maoni yangu naona hakiko sawa siwezi kukubaliana eti kwa sababu ni cha nyumbani,let say chato airport naanzaje kuunga mkono kwamba in eco viable?
Si pang'ang'a kama mwanamke tupee data inaeza aminika to prove your point.... Everyone knows Kenya is building more roads than Tanzania and that's national government, you have 47 counties who are also building their own roadsNikikuwekea 2 lanes you think like we do not have or what? Alafu hizo statistics zako ni za 1960 for your information the kilometers of trunk roads under construction right now are the half of all kilometers of Kenya View attachment 677697 View attachment 677699 View attachment 677700
Kama taarifa yako mwaka jana pekee Magufuli alizindua barabara zenye urefu wa kilomita 700 per year acha ambazo Ameziweke foundation stone na under constructionSi pang'ang'a kama mwanamke tupee data inaeza aminika to prove your point.... Everyone knows Kenya is building more roads than Tanzania and that's national government, you have 47 counties who are also building their own roads
Siku mtatoka hapo tutawaskizaKama taarifa yako mwaka jana pekee Magufuli alizindua barabara zenye urefu wa kilomita 700 per year acha ambazo Ameziweke foundation stone na under construction
"BARABARA za lami zenye urefu wa kilometa 689.9 ambazo zimegharimu jumla ya Shs. 781.132 bilioni zinafunguliwa na kuzinduliwa na Rais Dkt. John Magufuli kuanzia Julai 19, 2017 huku Mkoa wa Kigoma ukiunganishwa kwa mtandao wa barabara za lami."
Barabara za 689.9km zilizogharimu Shs. 781 bilioni zazinduliwa
And that is only tanroads roads sio municipality roads
smile and wave.....hello....Kama taarifa yako mwaka jana pekee Magufuli alizindua barabara zenye urefu wa kilomita 700 per year acha ambazo Ameziweke foundation stone na under construction

yenu si ni 44 million.. ..smh
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]Siku mtatoka hapo tutawaskiza
Sijawai mwona tajiri hana chakula ila kenya ndio wa kwanza hahahahaha et dc hahahah[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
Every one knows?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Si pang'ang'a kama mwanamke tupee data inaeza aminika to prove your point.... Everyone knows Kenya is building more roads than Tanzania and that's national government, you have 47 counties who are also building their own roads
Wish??[emoji23] Angalia plates number za Magari angalia apo utaona Kikwete bridge[emoji23][emoji23] ..Kawasimulie na wenzako Wa MathareYou wish
give me a 360 view