Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Arusha stadium pitch safii.. imekubali balaa .. halafu kuna wale wazee wa kuitifua pitch yao kila siku. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.. cheki maneno. Hapo bila filter wala nini
 
We taahira unajifanya unaijua bongo.com wewe fala. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ haya hii hapo, this is the most recent photo of Arusha Stadium. View attachment 3628360View attachment 3628361
Sisi tukiwa tunakosoa uwanja wao tunatumia facts na ukweli wala sio chuki, wao wanakosoa kulazimisha 1+1 iwe 11 wakati ni 2.
Imagine barabara inajengwa na picha zinapostiwa daily humu ila bado anabisha eti barabara haijengwi. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Huyo fala analazimisha furaha. Inabishia vitu ambavyo vipo ground πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
Very stupid.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…