Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Even Makwapa is currently banned.
Not banned , even if it was , Alternatively we Have approved Aman Stadium in Zanzibar, Azam Stadium in Dar , and soon we are launching Uhuru Stadium in Dar ,
Kenya has 0.
 
Alternatively we Have approved Aman Stadium in Zanzibar, Azam Stadium in Dar , and soon we are launching Uhuru Stadium in Dar ,
Kenya has 0.
Btw AMAN stadium has once hosted a CAF final between simba and berkane kasarani has never hosted anything usefull
 
Karai has been banned for the longest
Ile Karai haiwezi pata approval sababu ya poor amenities, pamoja na kuwa na pitch mbovu sana isiyotengenezeka, kasirani umejengwa kizamani, kwa hiyo ni kipengele kupata approval ya kwa AFCON. Caf hawaangalii pitch pekee,
Kuna possibility kubwa sana Michezo mingi itachezwa Tanzania na Uganda , na kenya akabaki msindikizaji sababu ana uwanja mmoja,
Ule uwanja wa Atalanta wangejenga viwanja viwili mid-size Pengine mmoja nairobi na mwingine Mombasa,

Shida tangu lini watu waliotawaliwa na wakikuyu na kalenjini pekee tangu uhuru wakawa na akili .
 
Ule uwanja umejengwa because of AFCON na hauna uhusiano wowote na football in kenya. Kwanza corruption iliopita pale AFRIKA nzima imeshika vichwa

Btw its unlikely wakapata CAT 4 straight because ile grass ni ya nyeri and also probably watatumia zile ISUZU kuwapa wachezaji unlike tanzania



View: https://vt.tiktok.com/ZSCTDqKYW/
 
Btw AMAN stadium has once hosted a CAF final between simba and berkane kasarani has never hosted anything usefull
Michezo ya Chan pia ilifanyika pale , na baadae michezo ya Caf champions league na Confederation Cup mwaka Huu imechezwa pale Zenji.
 
Michezo ya Chan pia ilifanyika pale , na baadae michezo ya Caf champions league na Confederation Cup mwaka Huu imechezwa pale Zenji.
CHAN ilikua bonaza na ilishafutwa mda mrefu, that bonaza ilitumika just to test if all nations can prepare AFCON sema sasa si unajua tena wakenya hawjawahi kuona mashindano makubwa wakavunja mpaka mageti
 
CHAN ilikua bonaza na ilishafutwa mda mrefu, that bonaza ilitumika just to test if all nations can prepare AFCON sema sasa si unajua tena wakenya hawjawahi kuona mashindano makubwa wakavunja mpaka mageti
Walikuwa wanvunja mageti wanjaa uwanjani, halafu wanajisifu wamejaza viwanja,
Sema Sehemu kubwa sana ya vijana wa kenya ni idlers, hawana kazi za kufanya na hawana kwa kwenda, na hawana vipato,
Nakuwa na hofu sana na michuano ya Afcon kwenye hiyo nchi ukizingatia ni mwaka wao wa uchaguzi
 
Comes close to what 🤣 🤣 aalfu mbna ile skybox ulisema ndo kama ile ya SOFI ama umebadilisha tena
 
Thats the reason CAF wali insist dodoma stadium ipande chap
 
This roof is so funny,
What is the story behind the roof , I mean what inspired the architect 😂
View attachment 3624881
What do you mean funny.. like it makes you laugh? What’s funny about the roof? One thing about you tanzanians you just throw out words which have no meanings.. try to be eloquent enough to be understood.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…