sio land tu, kuna mt kenya, revenue znaenda straight kwa mama ngina 😂Mzee Jomo Kenyata literally owns Kenya even to his afterlife,
Mzee Jomo Kenyatta is the chief founder of Land grabbing, ni legendary wa kukwapua ardhi, that’s his legacy.
Imagine leo 2026 familia ya Kenyatta inamiliki ekari laki 5, ardhi inayowatosha wakenya milioni 20.
Ndio maana Mwalimu Nyerere is considered among the best in our race ,
Falsafa ya Mwalimu inaishi vizazi na vizazi and no one cares of that land grabbing grandpa.
Design ya kizamani ile kaka, siwakosoi nawapa kongole ila ni uwanja wa kizamani.sasa vya afrika vingi walijenga zaman, ni nasilum peke yake wamejenga kiwanja kipya kilichochoka 😂 with nyasi za nyeri
Nchi ya kingese sana ile, 😀Na hapo miezi michache iliyopita walifanya renovation ikiwemo kungoa nyasi na kurekebisha pitch kwa ajili ya CHAN. 😂😂😂
Hata ule uwanja wa ndege mamaee,sio land tu, kuna mt kenya, revenue znaenda straight kwa mama ngina 😂
sasa si kila mtu anajua ule uwanja ni mbaya 😂😂 wenyewe wanajua ndo maana lazima kila sku walete picha angle tafautiDesign ya kizamani ile kaka, siwakosoi nawapa kongole ila ni uwanja wa kizamani.
alafu nlikua nmesahau, lile ni zizi la ngombe walai ni vile tu hakuna alternative 😂Hata ule uwanja wa ndege mamaee,
The outdated leaking airport belongs to the late grandpa’s family 😀😀😀
Ndio maana unaona Mr Loot-all nae anapambana sana apige mpunga,sio land tu, kuna mt kenya, revenue znaenda straight kwa mama ngina 😂
Hizi picha za kabla lile kikapu halijaanza kutumika wazitunze maana ukianza kutumika utakuwa hivi. 😂😂😂Nchi ya kingese sana ile, 😀
Capacity iliongezeka from 60k to 65k? 😂😂Question,
What if we decide to re-modernize Benjamin Mkapa Stadium? The running tracks we add another 20k seats, then we re-do the exteriors and the roofing?
What capacity will it be ?
Remember, Currently Ben Mkapa is the most modern and the Largest Stadium in East and Central Africa with 65K sitting capacity,
Plus Tanzania is building modern stadia in Zanzibar, Arusha and Dodoma Simultaneously, Just for Afcon 2027.
Iliishia hapa Nyamwezi
Na ile expressway walijengewa na wachina ni galasa tu, familia ya grandpa imo😀alafu nlikua nmesahau, lile ni zizi la ngombe walai ni vile tu hakuna alternative 😂
nliskia mlitumia $1.2B for the skybox 😂 😂 kwahio wageni mlisema wataruka ruka kuangalia mechi au sio 😂Iliishia hapa Nyamwezi
View attachment 3624675
na kesi walipeleka kortini ila bado mzee alishindaNa ile expressway walijengewa na wachina ni galasa tu, familia ya grandpa imo😀
Yes mate, after renovating the capacity increased, ni vile we don’t brag of small things like idadi ya viti. ChildishCapacity iliongezeka from 60k to 65k? 😂😂
Ni 62k sio 65Capacity iliongezeka from 60k to 65k? 😂😂
walimlipa mbna pesa ya kutosha hakuondoka kinyongeNdio maana unaona Mr Loot-all nae anapambana sana apige mpunga,
alijaribu kuleta mhindi mmoja anaitwa Adan pale uwanja wa ndege akapigwa vita hajawahi ona,
Kwa sasa Mr Loot-all , au mtukufu Lies (kama wanavyomwita wakenya) is ranked as the top corrupt president in the world.