Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hapo kwenye mbio mbona tulikubali muda mrefu ....maana mtu mwenye genes ya wizi lazma ajue mbio,huwez kua mwizi ka huwezi toka nduki..hongeren
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
vipi leo bro hauna majibu au? leo ni emojis tu?😀😀😀nikama vyuma vimekaza😀😀😀 na vile huwa pro katika kutafta data kule Twitter
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
just be free with your views, nobody is against you.

you are not the first tanzanian(imposter) to come up with negative opinions about our country, many of your type came,said the same thing and left.
Ni left niende wapi? Hakuna cha negative hapa mm huwa napenda kinyoosha ukweli
 
Jamani Naomba kuuliza hivi Kenya wana e-government kama Tanzania?

Means taasisi zote za serikali na huduma za jamii zinaoperate kwa kutumia independent centralized network?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…