Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hivi nyie wakenya mbafikiri Dar hakuna majengo mapya yanayojengwa? Watu hawana muda tu wa kupiga picha hayo majengo.
Huenda hampigi picha which is understandable...but does it mean haziko pia kwenye news or even forums?
 
Wewe umechelewa kuja mjini.
 
Si umesoma.? Tafuta hiyo project uulizie iko aje.. au shule yako haikusaidii kitu.? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ stupid. Au umeumia kujua kama wanyabi tunakimbiza mwizi kimya kimya.?
Nimehesabu floors.
Wewe hesabu, then report back hapa ni ngapi. πŸ˜‚
 
Bongolalas should be very grateful to Kenyans.
We contribute a lot especially to the economies of Arusha and Zanzibar.

Kenya is Zanzibar's biggest source of African tourists.

I know the owners of that TikTok-famous "I ❀️‍ Namanga" club.
It's on the Tz side, but owned by Kenyans.
Same thing is happening in Arusha.

Meanwhile, their contribution to our economy is a steady stream of omba ombas.


View: https://www.instagram.com/p/DOZGDY0CJqR/
 

Pinch yourself and double-check, whether you want to go through this 7-15 floor battle.
Is this a war you want to fight with Nairobi?
Is there really need for more bloodshed? πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hili zuzu vipi.? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ just dowload the photo and put it to your google lens, they will tell you the details. Stupid.
Wajinga waliisha πŸ˜‚
Tunakumbuka venye mlidanganya mpaka Google, sijui ghorofa gani ni 40 floors, kumbe ukifika kwa ground unapata 36 floors. NairobiWalker alijionea mwenyewe πŸ˜‚πŸ˜‚

Press office ya Sir. Mia - ambayo ni media zote bongolala - lazima waongeze floor kadhaa juu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Hio building is around 22 floors. That's your crown jewel.
Nairobi nikitupa jiwe anywhere, nitagonga jumba la over 22 floors under construction. πŸ˜‚
 
None hata 18 floors … this what they build in county towns in Kenya. Hata some affordable housing in Kenya are taller than these ..Nairobi kama sio 25 floors or more at the moment is a waste of space and potential money…
And that’s why we tell you Nairobi sio rika yenu ..πŸ€ͺ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…