Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hahaaha diamond can't stop teasing his haters especially kenyans. this is too much now.
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]

btw how many kenyan celebrities have houses outside kenya?. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
I have always said the ujamaa system was a waste of time...ubepari ndio una run dunia kwa sasa...ila pia ujamaa ukona faida aina mbali mbali, mfano, hamna ukabila kama sie...pia nchi inakaa kwa amani
Ukabila hauondolewi au kuletwa na socio-economic system Fulani Bali ni tabia na hulka ya kiongozi tu
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€just think of it...if you developed ur country during the 70s like SA did, Tanzania would have a pr capita of about 6000 dollars today...so yes, you have been sleeping like a bear during winter...
Tatizo lako au lenu ninyi wakenya ni kwamba mnapima maendeleo in terms of Monetary only, lakini mambo ya msingi hamshughuliki nayo, sisi Tanzania tumefanikiwa sana kuliko nchi nyingi sana hapa Africa, kitendo cha kuanza kujenga umoja wa kitaifa, kuondoa ukabila, udini, tofauti ya vipato na utengemano na amani, mambo ambayo ukipita muda wake huwezi kuyapata tena. Uchumi bila hayo niliyotaja hauwezi kuwa endelevu, sasa hivi ni muda wa kujenga uchumi, hatujakosea popote katika hili, tungeanza na kujenga uchumi, tungekuwa kama majirani zetu ambao wananchi hawana uhakika na usalama katika nchi zao.
 
duh! si humu tunadhani mmeshapata malaika...tunadhani pia amewamalizia kunguni waliokuwa wakiwanyonya pal serikalini na kuiba hela za nchi...ama wewe ni wa upinzani?
Nyie sio wafuatiliaji wa domestic story za Tzn so you are less informed tofauti na wabongo wengi wanafuatilia sana story za Kenya coz ni kama bench mark ya masuala mengi sana
 


Ali kiba kipenzi cha watu.......best in bongo..............Maina Kageni ako na nyumba Miami
 
Nyie sio wafuatiliaji wa domestic story za Tzn so you are less informed tofauti na wabongo wengi wanafuatilia sana story za Kenya coz ni kama bench mark ya masuala mengi sana
hehehhee msikieni huyu mkenya anae act as a tanzanianπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…