uchumi na nakummatt tanzania zili fail yani hakuna product ya kenya inayolika tanzania kwa sasa maana viwanda ni vingi sana na vinaushindani mkali sanaUchui ya wapi?kama ni Kenya nashuku sana...
Asas Ka dominate nyanda za juu kusini
oooh nilidhani ni uchumi Kenya...kama ni tanzania siwezi pingauchumi na nakummatt tanzania zili fail yani hakuna product ya kenya inayolika tanzania kwa sasa maana viwanda ni vingi sana na vinaushindani mkali sana
itakuja vp wakat hakuna misingi ya ajira kwa vijana, nakupa mfano mdogo sana ethiopia airways imeajiri watu wake zaidi ya 40000 kenya airways imeajiri watu 3200 yani rate ya ajira kenya airways hailingani na kampuni yenyewe, kwasababu kazi nyingi zimeshikwa na wageni ikiwa CEO wa sasa Kq ni mgeni unategemea nnππajira itakuja tu...kwanza lazima infrastructure ziwe ndio kazi pia zipatikane....bila reli, bandari, stima na barabara, viwanda vitafaulu kivipi? unless tunataka kutengeneza kazi kwa informal sector kama vil jua kali na kilimo
kila sector ya biashara tanzania ina ushindani mkubwa sana maana viwanda vimekua vingi sanaoooh nilidhani ni uchumi Kenya...kama ni tanzania siwezi pinga
Coffee we the leadingTea and Coffee. Next question.
Tzn uko kwenye line moja na hizo nchi nimekwambia,zina madini mengi tofauti na mafuta na other resources ulizozitaja hapo ila ni kweli kuwa Kenya Hanna rasilimali mingi kama sie but mumejitahidi sanandio ila kwa mafuta tu...nyie mna baraka toka kwa wanyama pori, beaches and islands, na pia mvua tele...nchi si kame kama vile northern Kenya...mna tanzanite, gas, diamond na dhahab...mna mlima mrefu kabisa barani kisha mna fresh water lakes ambazo Angola na Nigeria hawana...frankly, kwa baraka za natural resources, tz na DRC mlipendwa na Mola...
CEO wa hapo awali alkuwa mkenya...huyu kaandikwa kwa ajili ya turnaround...yaani kulirudisha shirika katika hali ya profitability....alaf tena kuna shida ya ufisadi...inasemekana kuna maafisa wa nyanja za juu pale KQ walikuwa wakiiba na kufuja hela za kampuni...ilibidi huyo mchapa kazi aandikwe kazi ili alinasue shirika kwani akona experience na airline za bara Uropa..itakuja vp wakat hakuna misingi ya ajira kwa vijana, nakupa mfano mdogo sana ethiopia airways imeajiri watu wake zaidi ya 40000 kenya airways imeajiri watu 3200 yani rate ya ajira kenya airways hailingani na kampuni yenyewe, kwasababu kazi nyingi zimeshikwa na wageni ikiwa CEO wa sasa Kq ni mgeni unategemea nnππ
Taja mengine hayo nimeshayapangua kwa facts mubasharaTea and Coffee. Next question.
wewe ni mtanzania ????Tzn uko kwenye line moja na hizo nchi nimekwambia,zina madini mengi tofauti na mafuta na other resources ulizozitaja hapo ila ni kweli kuwa Kenya Hanna rasilimali mingi kama sie but mumejitahidi sana
Tatizo ni mfumo tuliokua nao na rasilimali watu,wakati nyie mko bize na uchumi wenu,mwalimu alikuwa bize na ujamaa na ukombozi africa,
Tuna mkaka 30 tangu tumeingia partially kwenye mfumo wa soko unlike nyie,hopefully by 2030 ndio tunaweza kuwa kama nyie kimaendeleo kulingana na umri wenu kwenye ubepari
Nitafanya assessment ya ulinganifu by 2035 nione kama tutakuwa kwenye level yenu ya sasa kiuchumi,natumai Mungu atanipa uzima na afya
I have always said the ujamaa system was a waste of time...ubepari ndio una run dunia kwa sasa...ila pia ujamaa ukona faida aina mbali mbali, mfano, hamna ukabila kama sie...pia nchi inakaa kwa amaniTzn uko kwenye line moja na hizo nchi nimekwambia,zina madini mengi tofauti na mafuta na other resources ulizozitaja hapo ila ni kweli kuwa Kenya Hanna rasilimali mingi kama sie but mumejitahidi sana
Tatizo ni mfumo tuliokua nao na rasilimali watu,wakati nyie mko bize na uchumi wenu,mwalimu alikuwa bize na ujamaa na ukombozi africa,
Tuna mkaka 30 tangu tumeingia partially kwenye mfumo wa soko unlike nyie,hopefully by 2030 ndio tunaweza kuwa kama nyie kimaendeleo kulingana na umri wenu kwenye ubepari
Nitafanya assessment ya ulinganifu by 2035 nione kama tutakuwa kwenye level yenu ya sasa kiuchumi,natumai Mungu atanipa uzima na afya
bro unemployment rate ni kubwa sana africa nzima yani na hakuna uchumi imara bila ajira sasa wacheni wazungu washike ardhi na kina kenyatta alafu muone kama uchumi utasongaπππCEO wa hapo awali alkuwa mkenya...huyu kaandikwa kwa ajili ya turnaround...yaani kulirudisha shirika katika hali ya profitability....alaf tena kuna shida ya ufisadi...inasemekana kuna maafisa wa nyanja za juu pale KQ walikuwa wakiiba na kufuja hela za kampuni...ilibidi huyo mchapa kazi aandikwe kazi ili alinasue shirika kwani akona experience na airline za bara Uropa..
naona unampa support mkenya mwenzioππI have always said the ujamaa system was a waste of time...ubepari ndio una run dunia kwa sasa...ila pia ujamaa ukona faida aina mbali mbali, mfano, hamna ukabila kama sie...pia nchi inakaa kwa amani
utakuwa huna Meno. au vidole vyako vinafunza.Prince Chupi.
unamuamini mzee wa iPhone 7?.
Kitanda usichokilalia huwezi jua kunguni wakeatleast amewapunguzia ufisadi
kwan umepigwa na butwaa??? kuna watu wanaoamua kuzungumza ukweli badala ya blind patriotism...