Hi ni nini..tumezoea..lete kitu chengine kipya...
ahaaa mmezoea kumbe hii apa ingineHi ni nini..tumezoea..lete kitu chengine kipya...
sasa na nyie sometimes bana 🤣 kenya wenyewe hawaitumii sasa sjui mnampelekea nani uko upande wa piliHi ni nini..tumezoea..lete kitu chengine kipya...
Nairobi is just one big slum with a city centre 🤢
2nd on earth behind india, however ya india kuna progress kubwa inafanyika kuondoa zile slumNairobi is just one big slum with a city centre 🤢
Uwanja ukikamilika na kila kitu kikiisha, hautakua tu noma ila tutawashangaza washamba wa North na ile uwanja wao sufuria.Hii design imekaa safi sana, imagine uwanja ukimamilika na barabara zikamilike then tupate drone shot hapo.
uwanja wa beseni 🤣Uwanja ukikamilika na kila kitu kikiisha, hautakua tu noma ila tutawashangaza washamba wa North na ile uwanja wao sufuria.