President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,524
- 94,001
Coming soon to Riverside Drive. I count about 23 floors.
View attachment 3614076
View: https://www.tiktok.com/@hinesproperties/video/7652851664071740690
3D
Coming soon to Riverside Drive. I count about 23 floors.
View attachment 3614076
View: https://www.tiktok.com/@hinesproperties/video/7652851664071740690
izo wanaita sky skrepas kwa uko 🤣 🤣 uku znaitwa nyuma za NHCBaada ya kutazama hizo picha macho yangu yamepata kizunguzungu
yaani bila filter hutoboi
View: https://vt.tiktok.com/ZSxePs9p2/
Kuna watu walitamani kufika fainali sema ndo ivo tena 🤣Mwendo sasa ni kupost na kudelete 🤣🤣🤣🤣
View attachment 3614078
Uelewa wako wa glass building ni nini Nyamwezi?Sjui kama umemuelewa jamaa kakwambia ulete picha ya building yoyote ambao hajajengwa kwenye mfumo wa early 40's. in simple words this is the whole westland na haina glass bluiding ata moja
View attachment 3614075
Uelewa wako wa glass building ni nini Nyamwezi?
nmekupa mpaka mifano that should have helped you, wewe unaambiwa leta glass buildings unaleta majengo ya enzi wa 40'sUelewa wako wa glass building ni nini Nyamwezi?
Ulipost ukidhani mliwafunga only to realize it's the other way round 🤣🤣🤣🤣🤣Kuna watu walitamani kufika fainali sema ndo ivo tena 🤣
Unganisha Angola na dar slum alafu ulete battlealafu kuna uwezekano hata shule hujaenda 🤣 ivi ni wewe au Teargass alikua anacompare angola na nairobi juzi juzi
Matokeo mbona hayaletwi 😂😂😂
View: https://x.com/i/status/2069426584658846041
Swali ni mbona matokeo hayaletwi 😂😂😂Third place Kenya, Second Place Tanzania and Tanzania going to CAF U17 Women but Kenya not.
no i was sending it so someone nmeipost apa bahati mbaya however sio big deal as you were eliminated mapema sanaUlipost ukidhani mliwafunga only to realize it's the other way round 🤣🤣🤣🤣🤣
Ikabidi ufute haraka sana 😂 😂
Ndio kawaida yako sasa. Vitu unapost humu huwa huelewi content zao, wewe hupost tu!