Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,994
yap kama inalika ni chakula bas...kuna watu wanaokula chura, nyoka jelyfish na kadhalika...kisha chanuka bro,..cricket sio mende...mende ni cockroach😀😀😀Tanzanian English challenges naelewa lakini😀😀😀umepaniki buda.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji122] [emoji122]
Lol.....coconut.....lealy....!!!!hiyo ndio shida ya kutoa maneno kutoka katikati ya makalio badala ya kutoa kichwani,matokeo yake hata hukumbuki kufanya research, unakurupuka tu kama zombie.
last year, tanzania held number one position in africa for coconut production/cultivation and was in top ten list among worlds coconut producers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
isnt coconut not a cash crop?. [emoji23] [emoji23]
Mngejua kinachowapata hao hollywood mpaka kupata hizo contract za movie asee ni aibu sanaaa hata kusemaanother Lupita movie
waambie wakuletee mtanzania mmoja aliye level ya Wanyama, Rudisha Lupita na Olunga...akileta unitag
usiache kunitag tafadhali😀😀😀😀tulia kama unanyolewa. [emoji23] [emoji23]
btw, pinnacle imefikia wapi?... bado mnachimba shimo? ..tuwekee picha za current construction.[emoji23] [emoji23]
Tanzania is the second largest population of cattle in africa
In Africa is South Africa EuropeTanzania is the largest producer of wine in africa
tpa 178m hehehe aise tanzania itawaua😀😀wacha pinnacle ndugu kwanza...dont change the story...hii hapa inaiaibisha PSPf na TPF na hakuna mnara...pole sana chokoraa...176m na 141m
we ulifkiri tunagawa bure😀😀😀😀😀Pwahahahahahaha yaani nimcheka sana bro...asante kwa hilo...sasa maharage ndio accomplishment sasa?😀😀😀 Maharage yanawaletea hela kiasi gani kwanza...tuanzie hapo mkuu kisha fananisha hela hizo na hla zinazotoka kwa chai, kahawa na maua tuone nani mjinga kati yetu...
umepaniki...msumari wa moto huo. [emoji23] [emoji23]coconut inawaletea hela kiasi gani😀😀😀😀usi reason kama panya bro😀😀😀😀sisi tunaingiza 1 billion plus toka kwa maua tu
haya hao ng'ombe wamewasaidia na nini? sababu maziwa ya Brookside yamjaa kote Tanzania😀😀😀😀Tanzania is the second largest population of cattle in africa
Alshabab walituangamiza buda but ile kurecover tunarecover mtashonde....Ungejiuliza swali hilo, Kenya ilikuwa wapi ilipopitwa kwenye utalii?, ilipopitwa katika ukuaji wa uchumi?, ilikua imelala pale ilipopitwa katika kuvutia FDI kwa wingi?, ilikuwa wapi pale unemployment inavyoongezeka?
coconut ni childsplay bro...ongea kuhusu kahawa, chai maua na kadhalika...sio coconut...if I dont let this go si utaniletea pia diamond karanga ukiniambia tanzania ndio largest exporter😀😀😀😀umepaniki...msumari wa moto huo. [emoji23] [emoji23]
That's why we have Eldoret international airport......horticulture Kenya iko ivy leagueKenya's horticulture sector is modern and more robust than that
Were is the research?Nusu ya legumes wanazotumia Kenya na 70% ya carbohydrate ya Kenya inatoka Tanzania, bado wanatuletea maneno mengi, stupid.
We get money and buy food dudeNinyi mnalima maua, then mnaomba food donation, kichaa cha mimba hicho
Haha ata mkue na hizo zote kufikia Kenya hamtawaiTanzania and Mozambique have the largest gas reserve more than world's largest producer Qatar
who is geofferyTanzania is the second largest population of cattle in africa
with all that tourism in Zanzibar which doesn't want to be part of wala ugali tanganyika why are wala urojo this poor still.........kwenye utalii walikua wanapishana na pesa😀😀
with all that tourism in Zanzibar which doesn't want to be part of wala ugali tanganyika why are wala urojo this poor still.........kwenye utalii walikua wanapishana na pesa😀😀