Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nairobi Mombasa via the firewood sgr carriage is brutal 6 hours punishment,
First to Acess the station you need a rough Bodaboda or taxi ride sababu the stations are located far in the woods, the seats are hard (without mattresses), upright, non foldable, jointed like benches hahaha .
Dear kunyans, despite your terrible English the Chinese fu. ked you sideways on this deal pamoja na kuwa they know not a single english word 😀😀😀

 
Hawa mbuzi wanapenda sana kujipa umuhimu. Viherehere kama ushuzi wa ngomani.

Bro hao watu ni viherehere balaa,huwezi kukuta post ya star flan yupo kenya halafu Watanzania wakaleta shobo kama hizo,ila sasa kunyan uwa awakauki kwenye post za star aliyepost akiwa TZ,kunyan wanataka wajiinvolve katika kila kizuri cha TZ!
 
Huwa mnajiona Kama Malaika vile na nyie binadamu tuu tena wale wa ovyo.

 
First and foremost, KETRACO is a state corporation owned 100% by the government of Kenya, just like other state corporations. It is the ONLY company in Kenya mandated to transmit high voltage electricity in the country. Where did you read that the government only owns 37% of KETRACO?

Secondly, about existing transmission infrastructure, while you floss about Tanzania having 64 substations, I would like to remind you that Kenya has 83 high and medium voltage transmission substations and approximately 52 primary/distribution substations. That's a total of 135 substations (more than twice your number)🤣🤣.

I don't want to go into much details here but kitu mnafaa kujua ni kwamba we are way ahead of you in this sector.
 
why are you explaining too much

View: https://x.com/NyakundiReport/status/2068193941938180108?s=20
 
View attachment 3611424
Wenyewe wanaufananisha na allianz arena uwanja uliojengwa 2005 na bado haujafikia hata uzuri wake hata 5%,talanta liko kama sufuria,then kwa audience capacity ni sawa tu na mkapa wala sio mkubwa kivile
Nikikumbuka mlivyotabiri vile haitajengwa nashangaa tu sasa "ubaya" wake inawawasha na nini 🤣😜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…