Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unatuletea line za 33 kV and 11 kV kama wewe siyo mpumbavu tukuiteje? Unajifurahisha wewe tu.
 
Kwanini tuhitaji kuwa na manyaya mengi wakati tunaweza safirisha kwa high voltage kubwa kuliko imagine 400kv Tanzania ni 1500+ km versus kenya 1020

Ebu angalia network ya Tanzania ilivyo comprise na hapo ni 100% government owned wakat Kenya 37% ya grid transmission ndo Iko chini ya serikali.
🤣🤣🤣🤣

Yaan Kenya inamilikiwa na corporates kwa kweli , unajisifia distribution network ambayo serikali haimiliki hata 3000km 🤣🤣🤣🤣
 
Nyamwezi how many times do you use kenyan news sources to validate your points here? Nyinyi ni burukenge tu
The same media iliyotumika kusambaza negativity ya tz, sababu Tanzania hakuna power outrages sasa hivi zaid ya Zanzibar ambako kuna shida ya transmission lines sababu ya increased investment
 
Without Kenya support, the top Bongo celebrity artists would be unknown… and they know that … Ask Diamond.. Kenya introduced Diamond to the world with free promotion…Facts!
Babu kama nyie ndio mliofikisha pale diamond mnashindwa vipi kumfikisha alipo diamind bien na wasanii wenu wengine,kuna msanii huko kwenu mpaka alilia mumsapoti amfikie dangote,sijui aliishia wapi yule bwege
 
Babu kama nyie ndio mliofikisha pale diamond mnashindwa vipi kumfikisha alipo diamind bien na wasanii wenu wengine,kuna msanii huko mpaka alilia mumsapoti amfikie dangote,sijui aliishia wapi yule bwege
Na wameshindwa mshusha , 🤣🤣🤣🤣.
Yaan eti wampandishe diamond washindwe mpandisha Bien au powowoo au pozeee. Kapotea mazima
 

Kwanini tuhitaji distribution kubwa wakati tuna network kubwa ya 400kva network ambayo tunaweza safirisha umeme mwingine bila kuhitaji kubeba manyaya mengi.
 
 
Na wameshindwa mshusha , 🤣🤣🤣🤣.
Yaan eti wampandishe diamond washindwe mpandisha Bien au powowoo au pozeee. Kapotea mazima
Nakumbuka wenyewe walijipanga wamshushe,kunyan uwa wanapenda sana kujipa umuhimu kwenye vitu vyetu,wangese wakae wakijua TZ tumepakana na nchi 7
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…