Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unashinda JF usiku na mchana and you call others jobless! That definition suits you well
Kwahiyo umekubali kuwa ni jobless. Asante kwa kulitambua hilo. Nikuibie siri ewe jobless acha kuleta picha za zamani sana za Tanzania, watu watakucheka.
 
Siku mki own cha kwenu kama hiki, ndio mje tuongee. But now unasifia chombo ya Mholanzi

View attachment 3610667
Punguza kuropokwa KLM only owns 7% of KQ already have 777. Mbona tukose usingizi ju ya 767 ambayo inatumika na private airlines huku Kenya.



Bongoslum bila air tangagiza ya serikali na Precision Air ya KQ hakuna airline ikona ndege ya maana huko kwenu. Hata airlines za maana pia ni mbili kama matako. 😂 😂 😂












 
Wakenya bado wanatumia Isuzu. Vipi wakenya huku mtafika lini?

View attachment 3610697
Ukiwa ndani ya Hiyo chuma From Dar to Mbeya (850Km) of smooth Tarmaked road, unacheki na gemu za Kombe la dunia Live Kupitia Azam TV,
Czechia Vs South Africa (1-1) FT


However, 2026 over the whole of Kunya there is no single irizar i6, neither Marcopolo body bus,
They only know some isuzu trucks, canter and reformulated 1988 fiat trucks, zimewekwa some mabati to ferry passengers all over the poor country.



 
View attachment 3610706View attachment 3610707
787-8 tunamiliki 2 si za kukodi maku ww,hiyo ndege yenu ya kukodi kawaringishie burundi
Nchi ya watu 70 million ina airline mbili pekee ya maana. Mbili kama matako. Na ujue hio precision airlines ni ya KQ. 😂 😂 😂 Bongoslum investments kubwa hua za serikali tu, kama serikali yenu haingewanunlia ndege na kuwajengea maghorofa mungekua tu kama Burundi.
 
Kama precision ni ya kq,basi kq ni ya waholanzi,mtakuja kut.mbwa kwa kujipa vitu vya watu,then tuonyeshe nchi ya watu milioni 65 kunyaland ndege wanazomiliki kama nchi sio za kukodi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…