stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 39,330
- 39,533
infact imepigwa mnada juziWakenya wakiona hii wanadhani Port of Shanghai; Hii ni Dar es salaam Port with modern infrastrcture (Mombasa has outdated machines)
View attachment 3608573
infact imepigwa mnada juziWakenya wakiona hii wanadhani Port of Shanghai; Hii ni Dar es salaam Port with modern infrastrcture (Mombasa has outdated machines)
View attachment 3608573
Nani kaibeba, duh!!! kwa sasa tujiandae kununua kila mradi wa kenya.infact imepigwa mnada juzi
wewe endelea kufika mathareNiulize Mimi, nishawai kufika hapo😂😂
Usisahau hiyo ya chini bado haijajengwa.😂Tunaambiwa this is a skybox 😂😂😂
View attachment 3608533
Alafu kwamba hii hapa sio skybox 🤣🤣
View attachment 3608534View attachment 3608535
Wanajifanya kujua kuliko engineers at CRBC. 😂 😂 😂Niliona hiyo comment yake nikachoka. Sikutaka kurespond maanake huyo kijana mbilikimo huwa shortwire kimpango. Unakumbuka nikisema humu ukionyesha picha ya nyuma umwambie ni ya Tanzania atasema ni the best house in the world, ukija nayo a few weeks later useme ni Kenya atasema ni mbovu.😂😂😂
kitu tayar mda mrefu, walianza na phase 1Nani kaibeba, duh!!! kwa sasa tujiandae kununua kila mradi wa kenya.
What Kenyan tribe is that Mr. know it all?🤣 🤣 🤣 Mwandishi Ange Gusenga-Tembo Propaganda za wakenya.
Siasa za Senegal na Kenya zinafanana. Nyie nyote ni ndege wafananao.What Kenyan tribe is that Mr. know it all?
View attachment 3608615
Najua unaniogopa sana dogo, maana mimi nina full data and evidences. Ukija kichwa kichwa unakula za moto za uso
Huyo kaka ni dogo, maisha magumu tu yamemkomazaView attachment 3608650
Oyaa!huyu babu ni mdogo kwako?
Huyo bwege mwaiofhawaii anapiga uber sealt,anapiga door dash,analea wazee,anaosha vyombo kwenye restaurant za waethiopia,in 1 day,lazima azeeke mapema yule makuHuyo kaka ni dogo, maisha magumu tu yamemkomaza