Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Haya maswali matano ukiwauliza wakenya wanakukimbia na kukutukana

1. Je, ninaweza kupata drone view photo moja ya Nairobi?

2. Je, njaa itaisha lini Kenya?

3. Mnatamani kuwa na BRT, lini mtaanza ujenzi?

4. Kwanini wakenya wakimaliza kunya hawajisafishi?

5. Kwanini SGR iliishia Naivasha na hakuna mpango wa kuiendeleza tena?

Bado mengine yapo. But mkenya hana jibu na maswali haya.
 
Mbona finishing jua kali hivyo?
Yani mngewekewa foldable seats sijui Kama huku kungekalika. You guys made fun of our bucket seats alafu akawekewa hizo hizo at a tighter spacing making your stadium less comfortable than ours yet mnajifariji tu eti zenu ni better. Sasa mngewekewa hizo foldablelikuwa mnadhania mtawekewa sijui tungejificha wapi.😂😂😂
 
Wakenya kwanini mnapenda uongo uongo ***** zenu.? 😂😂😂hizi viti ni used.. i see no quality kwa hizi viti ..
 
Yani in their minds, the Nyamwezi hunters and gatherers waliamini watawekewa foldable seats. I can't count the number of times Stakehigh posted Talanta seats in a day na maneno ya kejeli mara ooh bakuli seats and even saying that no modern stadium uses such a seats anymore. Lakini Mungu ni nani! 🤣🤣🤣...they got elongated bakuli seats squeezed side by side just like their uswazi hovels of Dar, thereby denying the would-be fans the much needed comfort.

Out of embarrassment, they are now trying to prove that they got a better deal on the seats by constantly posting dusty seats za Talanta with some even saying they are second hand seats! Hawa watu hakuna kitu inawauma kama Talanta stadium kujengwa against their predictions and prophecies
 
From same site …
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…