Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Eti unaita mabomba ya kawaida ya zege ya kusafirisha maji taka (Trunk Sewer Lines) kuwa ni "tunnels" 🤣 🤣 🤣 🤣 Tangu lini ujenzi wa mtandao wa maji taka ukaitwa mega tunnels? Unataka kuaminisha watu hapa kuwa mnasafiri chini ya ardhi kumbe ni mabomba ya inchi 32 ya kupitisha maji ya vyoo kutoka mabandani, acha ushamba wa kulazimisha ukubwa mzee mwenzangu.

Huu mradi wenu wa Nairobi River unaoupigia upatu hapa umekuwa mradi wa kupiga pesa tangu miaka ya 1990 enzi za marehemu John Michuki. Unadhani hatujui 🤣🤣🤣

Hivi tukianza kukuwekea hapa mradi wa DMDP (Dar es Salaam Metropolitan Development Project) si utapoteana mzee. Tukikuwekee mradi Coco beach si utaanguka na kifafa? Bado kuna miradi ya BRT ambayo ni ndoto yenu isiyofikiwa.

Huo mradi unakaribia karne sasa labda uje na jambo tofauti na mradi huo, watu wote wanaujua maana kila mwaka unatengewa bajeti tangu miaka ya 1980s
 
Meza panga.
The sewer line is big and wide enough for Uber driver Traveller D kuendesha Passo yake ndani.

There is no $400 million project going on in Dar vumbi. Does dar even have any park worth mentioning?
 
mwaiofhawaii eti kulikua na nn kinaendelea apa 🤣 🤣 🤣 na apa ndo town yenyewe
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…