Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nimekuambia ujinga umekuzidi. Hizo value za KCB na Equity bank ni kutoka NSE.
Nilijua utasema hivyo ndio maana nikakupatia ushahidi wa hii PDF kutoka NSE
Bongolala, this is what you posted hadi ukaweka website ya Dar stock exchange. Does the website below belong to NSE?
Why are you running away from your own words?
 
So this is how market capitalization is calculated? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
long story how its calculated which you wont understand, so to make the whole story short then a simple query would have fixed everything instead of playing with digits here
 
Baada ya muda mreefu mikocheni kudorora ujenzi wa majengo marefu, mikocheni ya miaka mitatu ijayo intawasumbua vichwa mno kundurendas. View attachment 3606508
18 floors??๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
These ones ambazo ziko everywhere in Nairobi? Bongolala, at the moment, we don't get excited about buildings reaching less than 20 floors. Westlands alone has close to 30 buildings under construction (20 floors and above) so why should we get excited about such a dwarf building? 18 floors zimejaa Ngara, Pangani, Eastleigh, Lavington, South B and many other areas nashangaa mnazifurahia huko!
 
Mzee naona umeanza kuleta kejeli za "Kijana wa Tandale" baada ya kubanwa na data halisi za masoko ya hisa. Hiyo inaitwa kukwepa mada baada ya kufeli kitaalamu. Twende kazi sasa nikufunguo akili na nikuoneshe wapi unataka kupotosha umma wa JF.

Uongo wako
Ulisema KCB valuation ni Dola bilioni 12.84. Ripoti ya NSE niliyokuwekea imethibitisha ile ni Total Assets (Mali ya Benki), sio Valuation (Market Cap). Umedanganya mchana kweupe.

Market Cap NDIO Thamani Halisi ya Soko
Acha kujifariji na lugha ngumu ya vitabuni. Market Capitalization ndio Market Value halisi ya kampuni. Hii ndio kiasi kamili cha pesa ambacho wawekezaji wa kimataifa wako tayari kutoa mfukoni sasa hivi ili kuinunua KCB au Equity yote nzima sokoni. Hakuna mtu anayetaka kuzinunua kwa bei ya juu zaidi ya hiyo kwa sasa.
Maana yake KCB na Equity zinashuka thamani (Sasa ndio ujue matokeo ya mtikisiko wenu wa kiuchumi na bado mtaona mengi mpaka KCB na Equity zitafika kwenye zero)

Kwanini KCB na Equity Thamani Inashuka?
Bei ya hisa inaonyesha imani (Confidence) ya wawekezaji. Uchumi wa Kenya umeyumba na Shilingi yenu inaporomoka, wawekezaji wanalikimbia soko lenu la NSE. Matokeo yake, bei za hisa za mabenki yenu zinashuka vibaya, na hiyo inamaanisha Thamani halisi ya soko ya benki zenu inaporomoka kwa kasi.

Kosa lako kubwa zaidi la kukosa uelewa
Umeng'ang'ania maneno ya vitabuni ukitetea Enterprise Value. Kitaalamu, mfumo wa Enterprise Value hautumiki kabisa kutathmini mabenki. Mabenki yote duniani yanapimwa kwa Market Capitalization na Price to Book Ratio tu.

Data rasmi za NSE na DSE za tarehe 12 Juni 2026 haziongopi, Thamani ya soko (Market Cap) ya NMB na CRDB kwa sasa ipo juu kuliko KCB na Equity Group. Soko lenu la Nairobi limeshuka, letu la Dar linapanda.

Hii haina mbwembwe ni ukweli na uhalisia
 
long story how its calculated which you wont understand, so to make the whole story short then a simple query would have fixed everything instead of playing with digits here
Tumia kishwahil. English is not definitely not your thing
 
Bongolala, this is what you posted hadi ukaweka website ya Dar stock exchange. Does the website below belong to NSE?

Why are you running away from your own words?
Naona unatafuta exit point ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ Unataka kuwadanganya hapa JF kuwa nimejichanganya kwa ku quote comments zangu.
Mbinu za kitoto hizo, hapa tunaongea facts siyo mabishano ya nani ashinde**
 
Washaanza kulialia na hata bado hatujaanza.

They are desperateโ€ฆ hii uwanja imewangโ€™oa vilivyoโ€ฆ.They post parts still under construction with dusty seats โ€ฆ. Now look at this after seats have been dusted off โ€ฆimagine the entire stadium this clean โ€ฆ. Talanta has no equalโ€ฆ
 
Nadhani picha hii umetafuta kila namna na angle ili uje uiweke hapa JF. Haya tueleze huo mto jina lake linaitwaje ili tukaufukunyue kwenye mitandao.

Nairobi Rivers Regeneration Project
1. Nairobi River
2. Ngong River
3. Mathare River

The rivers cut across Nairobi from slums to poshy areas.
China man with all his wisdom, rightly so, chose to start work from the most difficult areas; the slums and most polluted areas.
Those are the photos I have posted that your Tandale brain is failing to grasp.

Project Scope for those without bundles to watch the video:

1. New Trunk Sewer Line along both sides of the entire river. No more waste going into the river. Those are the 'tunnels' in the pictures.
2. Expansion and deepening the river.
3 Construction of new waste water treatment plant at Kariobangi
4. Initial comprehensive Rehabilitation of Dandora Garbage Dumpsite: Garbage recycling plant in planning, but not part of the $400 m.
5. Transport infrastructure: Pedestrian walkways, bicycle lanes, parks, bridges etc. along the length of the river, but more when the river enters town.
6. Red Ribbon Park, Public spaces, pavilions, water features.

Plus so many more..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ