Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


Hhhhhh! This makes me lough!! Do you know what a data center is?? Then do you know what an ICT Center is??? Who wrote this things???
 
This picture defines what I'm talking about
Nadhan mnaweza kuona UAP ikiwa ni ndefu kuliko britam lkn kwakuwa antena ya britam ni refu kuliko ya UAP basiBritam inakuwa declared taller
Eti nao wanajengo refu hawa? Hawa jamaa vipi hivi...
alafu waakomaa eti uap ni jengo refu [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]ujinga wa kiwango cha lami
 
Hhhhhh! This makes me lough!! Do you know what a data center is?? Then do you know what an ICT Center is??? Who wrote this things???
Huna chochote ujuacho wewe. Soma taarifa acha kulia lia. Mimi ninakupatia facts hapa.

Speaking during the commissioning of the plant, the Minister for Works, Transport and Communications, Professor Makame Mbarawa, said that the initial government plans were to connect Dar es Salaam to the rest of countryside and its neighboring countries – Kenya, Burundi, Uganda and Rwanda.

Maputo and Democratic Republic of Congo eye Dar internet data connection facility
 
Mnaweka minara juu ili jengo liwe refu?acheni utani wenu...hivi tpa wakiweka mnara wa mita 40 siutakua balaa?hakuna kitu nyie mnajidanganya tu

Mbona mmeshindwa kuweka? Dalili za kushindwa hizo.
 
Mnaweka minara juu ili jengo liwe refu?acheni utani wenu...hivi tpa wakiweka mnara wa mita 40 siutakua balaa?hakuna kitu nyie mnajidanganya tu
Mana britam ina 33 na TPA ina 40 lkn britam ni refu sababu ya mnara wake ule wa juu
Af mijengo kibao wanawekea minara ili ionekane mirefu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
mmeshift mada sasa....hamuangalii number ya majengo tena?
 
Kuna siku nmewaambia hakuna jengo refu kama tpa kwa sasa walivimba humu balaa...me nkawanacheka tu
 
Kenya hua hawakubali kushindwa ndio hulka zao sasa hata mambo yao wanayapeleka kiujanja janja hahahhahaha
 
Amidst the wild Animals comes the Upperhill Skyline Nairobi

Yaan TPA Ingekuwepo mji wenu apo
Ingekuwa inafikiwa begani na britam ama UPA lkn kwakuwa njie ni wajanjawajanja mnaweka minara juu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwani kuna majengo mangapi kuanzia 20 na kuendea hapa dar na nairobi yapo mangapi? Kwa taarifa dar ina majengo marefu 20 kuanzia 20 floor and above
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…