Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ujenzi wa SGR ya Isaka (Tanzania) - Kigali (Rwanda) kuanza mwaka huu
 
hapa kazi tu bumper to bumper....kazi juu ya kazi....actions speak louder than words.
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
This is Super stuff[emoji106] . Kenya fanya mmalizane na Uganda mapema. Nimejiuliza kwa nini ame cancel ile priority ya kwanza kwenda Kigoma then to Kigali aka opt this new route! ikabidi nisogeze ramani... Magufuli kuna maeneo huwa hakosei.

Kenya mjipange tena sana, yale ya bomba la mafuta yana eza jirudia. Msibaki mna kalili, Tanzania ni kubwa na ardhi yote ni ya serikali, mtashtuka Reli imepita bukoba imetokezea Kampala.
 
Unazidi kuonyesha kichwani mwako hamna kitu
Ulitaka miezi 6 SGR ya Umeme iwe imekamilika!!
Hata ile mitungi yenu ya chang'aa imechukua zaidi ya miaka 3
Muwe mna ficha upumbavu wenu
miaka mitatu na nusu
 
Hahaha kwani mawazo yako ndio yanabomoa Sgr yetu? Unachekesha

Nyie wenyewe mlikua mkisheherekea hata direct route to New York mbona hamkurusha KQ leo kwenda New York?
mpaka october ndio safari๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
hapa kazi tu bumper to bumper....kazi juu ya kazi....actions speak louder than words.
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
mm nilisema nn jana, sasa akitoka huyu anaitwa mseven sasa tunamaliza shuguli๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
madhara ya mayouth kukosa job:
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji122] [emoji122]
recent robbery incidents that took place in nairobi.
 
mpaka october ndio safari๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
Sasa kama kurusha tu ndege process yake ina miezi 9 mpaka iwe effective nashangaa kinamuuma kipi kutaka kuona bullet train yetu ndani ya miezi mitano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ