President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,543
- 94,040
Sasa hivi tupo Phase V ya BRT, je, mkimaliza elevated roads ndio mtajenga BRT?Leta basi ten elevated roads in Dar slum tuone
Sasa hivi tupo Phase V ya BRT, je, mkimaliza elevated roads ndio mtajenga BRT?Leta basi ten elevated roads in Dar slum tuone
Alisikika mnyamwezi hunter and gatherer akisema. Hebu leta barabara 10 elevated hapo Dar slum tuoneBila BRT ni kama kuandika 8 kwenye maji
Badilisha tu account upost zile upuzi zako, wewe huna content. Mimi siwezi compare Nairobi na hii CBD ya ghrofa nne.Ukiweza kuleta Drone view shot kama hii kutoka Nairobi nakununulia kilo mbili za Unga wa sembe
View attachment 3595875
Leta Oblique Photography, achana na Holizontal, Hizo ni kwaajii ya kubandika ukutani.
Kaka mbona unanuna sana!!! Maneno meengi kama muuza nyanya. JF inataka ulete Dorne view photo kama hiiBadilisha tu account upost zile upuzi zako, wewe huna content. Mimi siwezi compare Nairobi na hii CBD ya ghrofa nne.
10? Hakuna hata moja. There are somethings Kenya is doing right and we should learn.Alisikika mnyamwezi hunter and gatherer akisema. Hebu leta barabara 10 elevated hapo Dar slum tuone
Soon the iconic GTC and Britam towers that have dominated the Nairobi skyline will be dwarfed by NSSF towers at 262m and planned Ugatuzi towers at 288m in upperhill....Imagine the view from Westlands to downtown bound with a 62 floors NSSF tower approaching…..that will be dope… definitely first world vibes…
mbna ajira watakosa sana mwaka wa feza 2026 - 2100Hii yote ni ukosefu wa ajira 😂😂
ngoja niwasaidie kuweka naona wanajivuta sanaKaka mbona unanuna sana!!! Maneno meengi kama muuza nyanya. JF inataka ulete Dorne view photo kama hii
View attachment 3595878