Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

When will you realize that not everything revolves around you bongolala. Amka..
Mmeona NSSF imejenga jengo naislum eti na nyie mnataka kuoutshine by building 30 billion building, what's wrong with you people!
 
Hizi excuses zenu tumezizoea humu bongolala. Now that ni picha ya 2009, hebu tuletee the same pic same angle ya 2026 tuone kama hizo vibanda zilizotapakaa kila mahali hazipo tena
Nimemwaga maelfu ya picha hapa. Kwa sababu upo na njaa ubogo wako hautaki kukubali.
 
Hizi ndo render za. MKICC

Nimesoma kutakua na phase 2.
Phase 1 bil 338 itajenga
Auditorium ya 5000
Exhibition space ya 10,000
Parking
Mini halls za 50-500
Na presidential hall ya 3000

Phase 2 bado haijapata fedha na mwekezaji
5 star hotel ya 500 rooms

Phase 2 ni muhimu sana kualika mikutano mingi zaidi kama watu wana mahali pakulala karibu

Pia kwa jinsi hii Arusha inavyoenda soon itahitaji Modern City Transport sio Arusha tu

1. Arusha
2. Mwanza
3. Mbeya

Hii ni miji inayohitaji BRT na barabara kubwa kwenye busy corridors zake

Mbeya pia inahitaji accerditation kupata. International status. na cargo terminal with cold storage kusaidia ndege kubwa zianze kutua

Eventually natamani kuwe na SGR ya Dodoma to Mbeya via Iringa na Dodoma to Tanga via Arusha na Kilimanjaro
 
Alafu jamaa amekatwa he's taking home around 15k! 🤣🤣
FYI kwa hizi loans kwa Tanzania powerful purchasing power currency anajenga 4 bedrooms house, very good car, potential business to sustain the family of 6 members in any major city, ukienda outskirts of the cities or rural it's another very different testimony!
 
Nasikia kuna mpango wa BRT Arusha na kuna ppp ya Arusha Kilimanjaro dual carriageway wapo very slow wakati nasikia mpaka pesa zilishatoka!
 
Sawasawa Nyamwezi economist
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…