Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nimesikia hapa plan in two years Mombassa siyo mshindani wetu kwenye ukanda huu. Tutakuwa tunashindana na South Africa


View: https://www.instagram.com/reel/DYsGMVvjNA1/?igsh=am9jODcyMTRwaDdp

Mambo yakienda kama mpango huu ulivyo maana yake hata hiyo mombasa haitajulikana tena.

Nimeona Rwanda wameamua kuhamia bandari ya Tanga completely kwa mizigo ya ya import na export. Ndio maana yule dalali Kasongo alileta hadithi ya kuunganisha Reli yao ya makaa ya mawe ifike Hadi Singida ili ku counter deal ya Tanga Port.
 
Alooo tofauti kabisa aisee, haki ya mama wakenya wamshukuru sn Annael na jf kuanzisha huu uzi, wanaona jinsi gn serikali yao inavyowachezea ktk kila kitu. Ona sasa utofauti wake, ni mbingu na ardhi kabisaaa.
 
Oyaaa kumbe hii ngoma ndo itakuwa hv upon completion.
 
Kitu enye Talanta affordable stadium chenye inazidi Arusha stadium ni capacity only. Wanataka ni hivyo, hawataki ni hivyo. Me sina cha kuwasaidia. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎ imekua yamoto balaa. πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯. Serikali yetu tunaitukana tu, lakini jamaa wakifanya projects zao, hawachekeshi, standards zinazingatiwa balaa.
Wanaotukana Serikali yetu ni Wakenya kaka, wamejifanya watanzania ili kutengeneza negative narrative kwenye jamii. Tunawajua hao, itafika sehemu watachoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…