Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

bora uje polepole nisilete picha za tanzanian airports😀😀😀
 
Hiyo garage lazima iwe bankruptcy sijui nani aliwaingiza mkenge hahaha wananchi wamegoma kununua gari mpaka government imeamua iokoe jahazi company isifungashe virago
ujinga wako hauna kifani ndugu...VW wameuza 100 units 2017 na serikali inanunua 300 kila mwaka....that is a milestone. especially for a new model...wakenya wamezoea sana Toyota, kwa hiyo wamejaribu sana VW
 
Hahaha eti nacho kinajiita kiwanda? Kuunganisha a baby walker for one month is that a plant or garage? Mtakaa sana
 
Hahaha eti nacho kinajiita kiwanda? Kuunganisha a baby walker for one month is that a plant or garage? Mtakaa sana
tulia...kumbuka kampuni za magari Kenya ni tele...nyie mna viwanda ngapi tuanze hapo kwanza...
 
Meli kubwa tatu lake nyasa doing business in Mozambique, Malawi and Tanzania we are ruling great lakes
 
Kazi imeanza meli za tanzania zachangamkiwa na Malawi na Mozambique
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…