Ushindani na Tanzania kwani nyinyi mna sgr??? π π π ....we jamaa huwa bogus, huwa unawazia vitu unaandika??utashindanaje na vitu hakuna?hata SGR yenu kenya mliacha kusikiliza wanauchumi wenu na world bank mkataka ushindani na tanzania siunaona leo deni linavowatesa
60% debt to Gdp ratioππππππ
mchina hamutomsahau
sasa badala ya kurudisha ndege za wenyewe mukaanza upya kununua zenu sasa badala yake loss inaitesa nchi miaka mitano
na mm ntawapa only three factors zilizochagia loss kubwa kq na ya muda mrefu
1} leasing aircrafts yani huyu ndio mchawi no 1
2} low tourism visit kenya and it bcz of tanzania kwa juhudi kubwa na zamakusudi za kikwete
3} kama munakumbukumbu nzuri kikwete alipunguza safari za kq per week kuja dar from 48 to 12 for almost 4 to 5 days na hio sababu iliyumbisha sana kq, kikwete alifanya hvo baada ya kenyata kuzuia magari ya tanzania kuingi JKIA kuchukua watalii, lakini badae kenyatta akaomba yaishe
tulikua na plan na tunaijenga one of the modern SGR in africa narudia one of the longest and modern electric SGR in africa, eat thatπππππUshindani na Tanzania kwani nyinyi mna sgr??? π π π ....we jamaa huwa bogus, huwa unawazia vitu unaandika??utashindanaje na vitu hakuna?
π π π tuta tuta tuna tuna mtatunga wimbo sasa........tuma mapicha acha porojotulikua na plan na tunaijenga one of the modern SGR in africa narudia one of the longest and modern electric SGR in africa, eat thatπππππ
sio tuta , tunajenga hapa tulipo tunajenga 722km modern electric Sgr in africa, kumbuka ni cash deal 3.16b usdπ π π tuta tuta tuna tuna mtatunga wimbo sasa........tuma mapicha acha porojo
Sasa mbona unabadilisha goal post?, mwanzoni ulisema wakenya hawawezi kuja Tanzania kutafuta kazi, baada ya kukuthibitishia kwamba kuna wakenya wengi huku Tanzania, unabadilisha na kuanza kutushauri jinsi ya kuongoza nchi, kama kweli huo ushauri wako unasaidia, basi washauri viongozi wenu watengeneze ajira nyingi ili muachane na aibu ya kufukuzwa toka Tanzania mara kwa maraThose are the closed-mind policies of yours that I'm focusing on here! For them to have gone that far to impart knowledge as teachers in those far flung areas of Tz,there was a desperate local need for them! It was imperative for Tz govt to regularize their hiring! You don't demonize your saviours. That's why those young men in Nairobi will think twice before engaging in TZ
maumivu yakizidi muone daktariπππππ π π tuta tuta tuna tuna mtatunga wimbo sasa........tuma mapicha acha porojo
Nyinyi mtoe wapi over $3b na mmeshindwa kutoa $50m kutoa ile mikebe yenyu imeshikiliwa Canada, danganya toto jinga......kama ni kweli mlikua mnaomba pesa kutoka WB na Zuma ya nini???sio tuta , tunajenga hapa tulipo tunajenga 722km modern electric Sgr in africa, kumbuka ni cash deal 3.16b usd
tanzania haina maneno mengi sisi tunataka utendaji sio maneno na sifa zisizo kua na maanaπππ
bro mpe hioπππππSasa mbona unabadilisha goal post?, mwanzoni ulisema wakenya hawawezi kuja Tanzania kutafuta kazi, baada ya kukuthibitishia kwamba kuna wakenya wengi huku Tanzania, unabadilisha na kuanza kutushauri jinsi ya kuongoza nchi, kama kweli huo ushauri wako unasaidia, basi washauri viongozi wenu watengeneze ajira nyingi ili muachane na aibu ya kufukuzwa toka Tanzania mara kwa mara
tunapenda kuchukua mikopo ya soft loan sisi hatuendi kichwa kichwa kama hakuna soft loan tunaangalia alternative nyingine, hata mturuki kakubali kujenga phase 3 and 4 kwa soft loanNyinyi mtoe wapi over $3b na mmeshindwa kutoa $50m kutoa ile mikebe yenyu imeshikiliwa Canada, danganya toto jinga......kama ni kweli mlikua mnaomba pesa kutoka WB na Zuma ya nini???
Unawaaibisha wakenya wenzako[emoji23][emoji23][emoji23] huu ni uchafu
Very nice
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Ameichungulia kwa mbali sana, leo tunawanyanyasa kiwangu cha kuanza kuwasikitikia, mara tunauza mifugo, mara tunachoma vifaranga, kwanini viongozi wao wapo kimya?[emoji1] [emoji1] [emoji1]
safari hazijaanzakumbe inaangalizia badoππππ
basi malizeni kwanza loss inayowatesa miaka mitano sasaππππ munawaumiza wanyonge kwa kula kodi zaosafari hazijaanza
Why do you eat Albinos?My point is we are LDC but not worse like this, [emoji116] [emoji116]
View attachment 673637
And this[emoji116] [emoji116] [emoji116]
Hunger eating the Middle income Kenya, picture taken in 2017, 2017
View attachment 673631View attachment 673633
View attachment 673635View attachment 673636
Any other questions?????
NonsenseWhy do you eat Albinos?
Naona wenye ndege wamechil pembeni wakiangalia ndege yao ikitaka kuanza safari kwa bendera ya kenya huku wakenya wakishangilia wakijua kuwa ni yao
Hiyo SGR imefika wapi? Magufuli ameukabidhi ujenzi huu only Tshs290 b sawa na $125 million ilhali unahitaji $1.2 b. So where is the money and where is the SGR?tunapenda kuchukua mikopo ya soft loan sisi hatuendi kichwa kichwa kama hakuna soft loan tunaangalia alternative nyingine, hata mturuki kakubali kujenga phase 3 and 4 kwa soft loan
hatutoi pesa kwa sababu kesi imesukwa na ndio maana tuna deal nayo effectively πππ
hehe eti atoe wapi 3b usd we unajua miradi anayojenga ni pesa ngapi ????πππ
mchina kawapiga only phase one 4b usd hapo hujaeka interestπππ hehe mchina sio mtu aise
4b usd only 450 km tena diesel old engine trains
3.16b usd for 722 km modern electric train in tzπ tena cash deal