Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Did you know that Nairobi is the City with the largest Metropolitan Area in Africa??? Now you know.

At the horizon is Nairobi's Upperhill Business District, see how far the city stretches
 
Nairobi mbna hamleti jengo lenu moja
Hhhhh!!! Kakangu, mbona hayo tumefanya zaidi ya mara ishini hapa?? Iwe wewe ni mgeni humu au??

Tena, we fikiria, watu washalalamika kuona hayo majengo ya TPA, PSPF na BOT, yaani ina maana, wameona hadi wamekinai. Nadhani hapa unanielewa
 
Wakenya mnaiogopa battle ya majengo na dar es salaam
En that puts dar above nai
 
Annael hayo Nairobi ishafanya, na tayari ni African ICT hub, by the way did you know that Oracle, IBM, Google just to mention a few have there African headquarters in Nairobi???
 
Hhhhh!!! Kakangu, mbona hayo tumefanya zaidi ya mara ishini hapa?? Iwe wewe ni mgeni humu au??

Tena, we fikiria, watu washalalamika kuona hayo majengo ya TPA, PSPF na BOT, yaani ina maana, wameona hadi wamekinai. Nadhani hapa unanielewa
No hii battle imesemwa tukaanza mkaiharibu
Ila mkawa na kisa kuwa kuna makampuni mengine yapo upande moja na si mwingine
Sahv apa nataka kila mtu awe free kutuma jengo lolote
Maana mnasema dsm ina majengo matatu tu
Na apa ndo tutaona who will run out of buildings
Na apa hatuweki under constructio maana under construction najua tutawaua
 
Dust from the busy site where the tallest building in Africa and Middle east is rising, Hass Towers: Nairobi
 
Annael hayo Nairobi ishafanya, na tayari ni African ICT hub, by the way did you know that Oracle, IBM, Google just to mention a few have there African headquarters in Nairobi???
Kwikwikwikwi. Soma Taarifa. Kwamba tayari TZ ni ICT hub.

The NICTBB operates as a wholesale business concentrating on large capacity interfaces. Capacity servises are provided only to Service Providers who are licensed by the Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA). Standard Synchronous Digital Hierarchy (SDH) and Standard IP Ethernet are used to offer end to end services on protected mode. The services are available in the following bandwidths
  • STM 1 (155 Mbps),
  • STM 4 (620 Mbps),
  • STM 16 (2.5 Gbps)
  • STM 64 (10 Gbps)
  • Fast Ethernet (100 Mbps)
  • Gigabit Ethernet (1000 Mbps)
NICTBB

Sasa pitia hizo documents halafu uje tena na bla bla zako hapa.
 
dar ina majengo matatu ikienda sana matana rita na uhuru heights.......hizo zingine ni 10-15 floors ambazo hazinamaa apa
 
Twenden jengo mojamoja bas
Sidhani kama wakenya watapata wakati wa kurudia tena hili, hasa ukizingatia kwamba majengo yale unataka kupost hapa ni yale yale tu ya PSPF, TPA, BOT, na mengine pale manne, ama kuna mageni???
 
Sidhani kama wakenya watapata wakati wa kurudia tena hili, hasa ukizingatia kwamba majengo yale unataka kupost hapa ni yale yale tu ya PSPF, TPA, BOT, na mengine pale manne, ama kuna mageni???
Hahaha
Nitawasaidia sasa naona mnakimbia
 
dar ina majengo matatu ikienda sana matana rita na uhuru heights.......hizo zingine ni 10-15 floors ambazo hazinamaa apa
Unaongea sana funga domo lako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…