Kwaida yenu sana you stupid bongolalas hamkosa vijisababu na visingizio. Kwani ni shirika gani la ndege duniani haijawahi patwa na ajali? KQ has faced some of the worst accidents but it is still going strong despite the numerous challenges. Hizo zenu ndio zilikua ajali za aina gani kukwamisha huduma za shirika la ndege ya kitaifa? Stop this lazy talk na muanze kujenga nchi yenu itoke ldc. Vijisababu haitawasaidiaHahaha kwani KQ izo ndege ni zenu?? Hebu fuatilia ujue AirTanzania imemiliki ndege ngapi, kama isingekuwa kupata ajali ndege zetu AirTanzania ingekua mbali Sana..
Stop talking nonsense, kumbuka Air Tanzania inamilikiwa na Serikali 100% kwahiyo ikitokea loss kubwa inachukua muda kidogo Ku recover..Kwaida yenu sana you stupid bongolalas hamkosa vijisababu na visingizio. Kwani ni shirika gani la ndege duniani haijawahi patwa na ajali? KQ has faced some of the worst accidents but it is still going strong despite the numerous challenges. Hizo zenu ndio zilikua ajali za aina gani kukwamisha huduma za shirika la ndege ya kitaifa? Stop this lazy talk na muanze kujenga nchi yenu itoke ldc. Vijisababu haitawasaidia
Kama uko na uwezo na pesa ya kununua nyumba mbona ungoje serikali ikujengee? Ndo maana nilisema kwamba nyinyi ni wavivu na wazembe, a sharp contrast with us kenyans and one of the key reasons why kenya haiko ldc. sisi ni watu wa kujituma tofauti na nyinyi watu wa story za vijiweni mkingoja serikali iwafanyie kila jambo including basic ones like building a house. Sasa kama nyumba ndio hamwezi jenga ni uchumi yenu ndio mtajenga?sasa unafikiri izo nyumba wanapewa bure.
Ndege tano zipi?? na wameshindwa kuikomboa bombardier pale kwa wazungu sababu ya madeni sembuse kuweza kununua ndege tano si Uchumi utaporomoka. Ndege zenyewe haziwezi fika Isiolo from southern Tanzania juu maximum distance to be covered cannot exceed 2000km ni ndege za the 80s and 90s.Yani Tanzania inakua na national carrier for the first time since independence with five planes to its name na inataka kushinda na KQ, a company that has been in operation since time immemorial! Hata hamna haya mkitaja ndege tano hapa
Kwani hujui kizungu ni tatizo kwa hawa jamaa? Ingeandikwa kwa kinyamawezi labda angeelewa. The Diamonds of this wirld!The link clearly states that Moi International Airport recorded growth both in the number of passengers and Cargo which simply means JKIA is Competing with Moi International.
Kama uko na uwezo na pesa ya kununua nyumba mbona ungoje serikali ikujengee? Ndo maana nilisema kwamba nyinyi ni wavivu na wazembe, a sharp contrast with us kenyans and one of the key reasons why kenya haiko ldc. sisi ni watu wa kujituma tofauti na nyinyi watu wa story za vijiweni mkingoja serikali iwafanyie kila jambo including basic ones like building a house. Sasa kama nyumba ndio hamwezi jenga ni uchumi yenu ndio mtajenga?
KQ ilifaidika kwa sababu Wakenya walikuwa werevu kuwaliko nyie watoto wa Nyerere. How about that?wewe fatilia umoja wa EA ulivyo vunjika kenya airways ilivyo faidika.
Why are you contradicting yourself? Nani amesema mda mfupi uliopita kwamba in Tanzania ni jukumu la serikali kujengea watu nyumba? Iweje tena watanzania wanajenga nyumba zao wenyewe mara kumi zaidi ya wakenya? Na hizo takwimu umetoa wapi? Kijana mdogo, fanya kazi kwa bidii wewe na wandanganyika wenzako muokoe nchi yenu kutoka ldc.Ni aibu sana kuwa kwa ile list. Acha kupambana na Kenya, utapasuka msambaNakuhakikishia watanzania wanajenga nyumba zao wenyewe kuzidi wakenya mara 10. Unadhani hatujui wakenya wengi mnaishi kwenye nyumba za kupanga zinazomilikiwa na kabila la wakikuyu.
Ilifaidika kwasababu headquarter zilikuwa huko.KQ ilifaidika kwa sababu Wakenya walikuwa werevu kuwaliko nyie watoto wa Nyerere. How about that?
Why are you contradicting yourself? Nani amesema mda mfupi uliopita kwamba in Tanzania ni jukumu la serikali kujengea watu nyumba? Iweje tena watanzania wanajenga nyumba zao wenyewe mara kumi zaidi ya wakenya? Na hizo takwimu umetoa wapi? Kijana mdogo, fanya kazi kwa bidii wewe na wandanganyika wenzako muokoe nchi yenu kutoka ldc.Ni aibu sana kuwa kwa ile list. Acha kupambana na Kenya, utapasuka msamba
No, thanks. we don't need anything from you brother. Keep the little that you have. You are ldc afterall, you desperately need everything you have right now.So what can we do for you son?
Nani aliwakataza kupeleka headquarter Dar es salaam? Ndo maana nikasema sisi ni werevu kuwaliko, na itabaki kuwa hivyo mileleIlifaidika kwasababu headquarter zilikuwa huko.
Kenya ilkua inamiliki zaidi ya 70% ya EA airways jifunze kufanya utafiti kabla ya kumwaga ujinga...angalau ata Uganda walijaribu kuchangia kwenye shirika Tanzania ilkua shida tupu(hadi sasa hivi Tanzania inapata shida kuchangia pesa kwenye budget ya EAC licha ya kuwa pesa tu kidogo)....ndege nyingi zilizomilikiwa na EA airways zilinunuliwa na serikali ya Kenya ndo maana ilkua logical Kenya kubaki na ndege baada ya shirika kuvunjikaWhy Kenya Airways is abbreviated as KQ and not KA
baada ya kuvunjika kenya ilichukua miundombinu yote ambayo nchi zote 3 zilichangia kujenga.
Wewe ingia ukalale. Ni dhahiri kwamba ushachoka. Kama huwezi kumbuka kitu wewe mwenyewe uliandika less than 30 minutes ago it only means two things: either hautaki kukubaliana na ukweli ama umechoka.Angalia vizuri nani aliyesema hivyo.
Huijui dar kijana kama ulikua unaishi survey estate ukishafika Mliman city mall unarudi ndani ndio umemaliza basi ni uzembe wko,
Pale shekilango tu kuna flats kibao sijakupeleka mbezi beach,mikocheni, masaki, oysterbay,Upanga
Inajiendeleza ndio maana October this year inalaunch direct flights to America, joining the league of few airlines in Africa with firect flights to the US. Wewe hapo bongo ukitaka flight ya direct to the US itabidii uje unyenyekee Nairobi na "uongee vizuri"Sasa mbona hamna hata ndege moja na mnapata hasara kila mwaka?, huo uzamani umewasaidia nini kama hadi leo haliwezi kujiendesha?
Wewe ingia ukalale. Ni dhahiri kwamba ushachoka. Kama huwezi kumbuka kitu wewe mwenyewe uliandika less than 30 minutes ago it only means two things: either hautaki kukubaliana na ukweli ama umechoka.