Hapa ni airport gani?
That substandard facility is too idle to bring into some matured men’s attention..Can't you see Lamu Port inanyang'anya Dar is slum port biashara?🤣🤣🤣😂👇👇
View: https://x.com/i/status/2052448346577526801
hiyo namba 4 mbona inaepukika treni za Ukunduni zitabeba 25 tons maximum!Analilia link Singida ili apate access ya Rwandam Burundi and DRC 🤣🤣🤣hata hivyo kuunganisha hizi reli mbili ni kazi sana
1. Mifumo ya nishati ni tofauti umeme vs Diesel
2. mifumo ya control ETCS European Train Control System vs chinese
3. continuous welded vs jointed
4. design specification ni tofauti Tz 35 tons per axle while kenya 25 tons per axle
Sasa train ya SGR ya Tanzania ikiwa loaded ikienda Kenya itavunjavunja barabara yote ya reli in short hakuna muunganiko wa reli hapa too many deviation on specs
Za kwetu sasa ndio zitashindwa kupita njia za Kenya maana ni heavy sanahiyo namba 4 mbona inaepukika treni za Ukunduni zitabeba 25 tons maximum!
ndio constrain zake ili watumie wao na sisi tushindwe!Za kwetu sasa ndio zitashindwa kupita njia za Kenya maana ni heavy sana
Kaka siyo Airport ni SGR StationHapa ni airport gani?
Train Stations zetu zina hadhi ya AirportKaka siyo Airport ni SGR Station
How am I supposed to know him?
Sasa kama last floor ipo 158m how does it become taller than GTC which is 184m?Sasa tumekwambia last floor ipo 158M unabisha, tumekuletea architect ashakwambia the tallest floor ipo sinza bado unabisha, kama sio kua slut ni nn?
huu muunganiko wa reli sielewi unaendaje labda kama ni oil ila kama ni kushare bandari hilo hapana, aua unasemaje TeargassAnalilia link Singida ili apate access ya Rwanda Burundi and DRC 🤣🤣🤣hata hivyo kuunganisha hizi reli mbili ni kazi sana
1. Mifumo ya nishati ni tofauti umeme vs Diesel
2. mifumo ya control ETCS European Train Control System vs chinese
3. continuous welded vs jointed
4. design specification ni tofauti Tz 35 tons per axle while kenya 25 tons per axle
Sasa train ya SGR ya Tanzania ikiwa loaded ikienda Kenya itavunjavunja barabara yote ya reli in short hakuna muunganiko wa reli hapa too many deviation on specs
Wale washamba lile sufuria lao kutokua running track ndio maana ushamba wao unawafanya waone sufuria lao ni bora,in contrary hata huko ulaya viwanja vya vilabu ndio uwa havina running trackkuna watu wamejenga boxi, naskia wanasema ni one among best stadiums in africa
View: https://x.com/AfricaFirsts/status/2052680090861908121?s=20
Sasa sku zote mlikua mnabishana nn kwamba hamna umaskini, Kwahio your parents are poor ukijumlisha na wewe unaestruggle pia tayar familia nzima poor, Teargass tusimhesabu kwa sababu yuko kwenye extreme povertyUnafikiri sisi ni kama wewe who's being taken care by his mama? You spend your whole time here and you keep quoting wenye wako busy na maisha yao
Anatuona sisi mafala,yan atumie jiografia yetu tuliyobarikiwa na Mungu kwa manufaa yakeAnalilia link Singida ili apate access ya Rwanda Burundi and DRC 🤣🤣🤣hata hivyo kuunganisha hizi reli mbili ni kazi sana
1. Mifumo ya nishati ni tofauti umeme vs Diesel
2. mifumo ya control ETCS European Train Control System vs chinese
3. continuous welded vs jointed
4. design specification ni tofauti Tz 35 tons per axle while kenya 25 tons per axle
Sasa train ya SGR ya Tanzania ikiwa loaded ikienda Kenya itavunjavunja barabara yote ya reli in short hakuna muunganiko wa reli hapa too many deviation on specs
Kwan ni ENglish huelewi ama? Turudie tena session Ya English? Madame ni kwamba floor ya mwisho ya GTC ni 158M maaana yake kile kipande cha juu sio floor ni extra structure, floor ya mwisho PSP ni 160M sjui unaelewa ashaboko?Sasa kama last floor ipo 158m how does it become taller than GTC which is 184m?