Yeah.. Nimetaka wakenya waione hio habari... Roho zinawapasuka wakiona habari km izzo,[emoji23] Ata hiyo kuanzisha Safari ya moja kwa moja Marekani wameiga tu.. Ukiangalia KTN hakuna siku inapita hawajaweka speech ya Magufuli.. Inamaana wanamfuatilia kwa karibu sana maana wanajua Uyo MTU sio Wa mchezo mchezohio picha ni ya cs 100 za kwetu ni kubwa cs 300
Wauza mitumba wa Gikomba Market ni Wachagga. Wanafanya nini kama hamna jobs Kenya?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umemkamata pabaya
Showing results for africa's tallest towerI just love Nairobi city train..
You know Kenyans are ugly like this Kibera city train.
View attachment 673130
kwanz karibu sana mgeni jamii forum😀😀😀mfundishe huyo mwenzio international economics. hajui hata Russia itabenefit vipi kwa world cup
tourism unasemaje??? BRT dar inakusanya pesa mara tatu ya SGR yenu 😀😀😀😀😀In Tanzania apart from musicians hamna sector nyingine inalipa hela mingi zaidi ya Kenya. Name them. GDP ya Matatu industry ni kubwa kuliko GDP ya Dar mzima all industries combined.
Wauza mitumba wa Gikomba Market ni Wachagga. Wanafanya nini kama hamna jobs Kenya?
Ninasubiri jibu la kuhusu master plan ya jiji la Nairobi. Kisha tutaendelea. Hapa ni kutoa jibu la picha au reference document. Ukisema kwa maneno tu haina maana yoyote. Hata mimi hapa ninaweza kukuambia ni tajiri kuliko Dangote. Lakini kukiwepo na evidences ndio tunajua.
Yeah.. Nimetaka wakenya waione hio habari... Roho zinawapasuka wakiona habari km izzo,[emoji23] Ata hiyo kuanzisha Safari ya moja kwa moja Marekani wameiga tu.. Ukiangalia KTN hakuna siku inapita hawajaweka speech ya Magufuli.. Inamaana wanamfuatilia kwa karibu sana maana wanajua Uyo MTU sio Wa mchezo mchezo
I just love Nairobi city train..
You know Kenyans are ugly like this Kibera city train.
View attachment 673130
Hiyo humu tushaoneshwa tangu 2010... Nashangaa mpaka leo bado mnaiongelea tu na hamna kitu..[emoji23][emoji23] waulize wakenya wenzio
Ati analipwa ksh.370,000 hapo tz...But they are richer than your richest musician
Diamond Platnumz Net Worth
This multi-talented guy from Tanzania known for his singing, songwriting, and dancing also for playing various music instruments such as vocals, piano, guitars, and drums. Naseeb has earned his name and fame along with net worth in millions in a just half decade. The estimated net worth of this African singer is staggering $5 million US dollars as of 2017. Diamond Platnumz charges KSh370, 000 per show in his native Tanzania When performing outside of the Bongo nation, he charges KSh 2.3 million for his services.
How rich is Morgan Heritage?
Morgan Heritage Net Worth:
$11 Million
Tafteni Airline then we can argue about that. meanwhile mtakuwa mnakujia direct flights to New York from here in Nairobi.tourism unasemaje??? BRT dar inakusanya pesa mara tatu ya SGR yenu 😀😀😀😀😀
You mean from kibera right?[emoji23][emoji23]Tafteni Airline then we can argue about that. meanwhile mtakuwa mnakujia direct flights to New York from here in Nairobi.
Ulikua unafanya nini pale kwa Prof. Fred Kaijage na Prof. Josephat Kanywanyi?, hapo nyumbani kwa Prof. Kanywanywi ndipo alipoishi Yoweri Kaguta M7 wakati akisoma na kuendelea harakati za kumtoa Idd Amin.Nilikuwa jirani ya Professor Kaijage pale Survey Estate
Kenya has 5 int'l airports. Nairobi has Wilson airport handling local planeswikipedia😀😀😀😀😀 be serious
I was working with an Int'l agency. did lots of work at Mlimani City MallUlikua unafanya nini pale kwa Prof. Fred Kaijage na Prof. Josephat Kanywanyi?, hapo nyumbani kwa Prof. Kanywanywi ndipo alipoishi Yoweri Kaguta M7 wakati akisoma na kuendelea harakati za kumtoa Idd Amin.
Sasa wewe umekuja na longolongo ambazo wenzako ziliwashinda kuzitetea, ila hata wewe tutakuweka sawa tu. Uchumi wa Kenya ni bandit and most ruthless economy in Africa, Nyerere aliupa jina la man eat man economy, few to have everything and majority to have nothing.In Tanzania apart from musicians hamna sector nyingine inalipa hela mingi zaidi ya Kenya. Name them. GDP ya Matatu industry ni kubwa kuliko GDP ya Dar mzima all industries combined.