Traveller D
JF-Expert Member
- Jul 11, 2025
- 2,068
- 5,448
Wanatueleza habari za disposable income kwa kula chicken wings za KFCs ambazo thamani yake ni 10k tzs πππ. Restaurants kibao Tz kila kona ya mtaa. Tena za kishefa *******, menu za humo ndani unaeza kuogopa.We bwege wa TZ tunapenda kula vitu organic kama hivi,hiyo junk food pambaneni nayo wajinga kama nyie,restaurant kama hizi zimejaa TZ
This is the most popular in kundustan. We have them everywhere in the country. NB: they are everywhere in Tanzania. πππ itβs a common thing.Yani kuna Baboon amekazana kupost vitu vya kawaida Sana. Wakati wanaona ni ajabu kwao, huku ni mob Sanaππ
View: https://www.instagram.com/reel/DXjhAmhDGis/?igsh=MXQ5OWUzajBxcGk5Mw==
Mbilikimo unakuja kututisha na patter. πππ Nimedhani hata ni fine dinning. Hii ushamba ya Tanga itakutoka lini?Menu za Zebra restaurant ni za moto. Kama hii ni 250k. ππΎ
View: https://www.instagram.com/reel/DXQ_DQQAH7E/?igsh=MXczMnY4M3oybmZ6cQ==. Kundustan wao wanajisifia kula vipaja vya kuku wa KFCs kwa 10k eti ni disposable income πππ vikatuni kweli hivi vijamaa vya humu ndani. Hizi ni restaurants zipo kibao uswahilini sio hata kwenye mahoteli and they are doing good.
Tanga na ushamba wapi na wapi mzee wa ushagoo.? Kuna watu wajanja kuliko sisi tunaotokea Indian Ocean kwa hii region.? πππ kila kitu unaona sisi ndio tulitangulia kuona before zifike kijijini kwenu migori 50 years later.Mbilikimo unakuja kututisha na patter. πππ Nimedhani hata ni fine dinning. Hii ushamba ya Tanga itakutoka lini?
You are just unexposed. What you think are only available in Tanzania are all over Kenya. But what we have in Kenya hamna huko Tanzania π€£π€£πThis is the most popular in kundustan. We have them everywhere in the country. NB: they are everywhere in Tanzania. πππ itβs a common thing.
Yani of all the things Jamaa ameamua atuonye platter dishesπ€£ππ.Mbilikimo unakuja kututisha na patter. πππ Nimedhani hata ni fine dinning. Hii ushamba ya Tanga itakutoka lini?