Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

At the end of the season Shabana FC collect more money on match days than any other team in Tanzania.
Muone mpumbavu mwingine huku, Shabana yenye average gate collection ya 960,000 per match .
Kweli mko desperate sana. Highest revenue ya Shabana kwa mwaka huu ni 3.5 mil ksh au 70 mil tsh.
Halafu wanashindwa hata kulipa salary.
Hiyo hapo kwenu ni 44mil ksh only gate fee Tena kwa mwaka 2024 haya tuletee ya Shabana ,gor mahia ,afc leopard kwa mwaka kama wanaweza fikisha hata 20mil.
Level ya got mahia ni mashujaa FC kwa tanzania
 
Tanzania International Petroleum Reserves Limited (TIPER)
 
Huyo nae usimtilie maanani ni chizi huyo.
 
90% of Simba and Tanga Collection was a derby played at Makwapa. Now show us the gate collection with other teams, I want to show you something 😂😂🤣.

By the way the highest gate collection for shabana this year was 5M against Gor.
 
Yap hata kama ilichezwa mkapa leta ya kwenu ambayo yearly revenue hata ya club moja imefikisha 20mil.
Vipi kuhusu tra nayo ilichezwa mkapa?
Imagine kama derby tu zinaweza zalisha 720mil kama ulivyostate au 36mil per derby wakati Kenya highest derby ilipoket 7.2mil.
Buda hakuna club Kenya yenye yearly gate revenue ya kufikisha hata 20 mil per year ,yaan level zenu ni mashujaa ,tra na pamba jiji
Nincompooop
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…