concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 6,999
- 15,468
Leta za Kenya sababu league inaendelea unaweza tafuta attendance yake , tuletee za kwenu hasa zile nje ya afc na gor mahia, kwa sababu wewe ndo umezianzisha ,Ukiulizwa swali unajibu sio kuuliza swali ingine.
Entrance fee zimekushinda 🤣🤣🤣🤣, ebu tutafutie maximum seat per match kwenye league yenuUkiulizwa swali unajibu sio kuuliza swali ingine.
Unazingua sana. Hii ya juzi tu imefanyika Amani Zanzibar, na siyo Dar es salaamUkiulizwa swali unajibu sio kuuliza swali ingine.
Kujigamba vitu hakuna na chan mlituaibisha kwa kushindwa kuingia viwanjaniSababu hatuna maskini wengi, wengi wanaweza afford vip seats .
Sasa wewe tuletee vvip wa Nairobi aliyewahi lipa 12000 ksh na uwanja ukawa full
Yaan unajisifia sport events ambazo hata haziwezi fikisha revenue ya 30,000 usd.How many well attended sports events mumehost this year? Ama munangoja Simba na Yanga. 😂 😂 Sisi sio rika yenu bana.
But kenya is the king of mass gravesThis according to Samia’s official report so you know the real true number is definitely hundred times higher . View attachment 3579795
Go and broadcast the real numbersFake numbers… real numbers over 5000 dead
View attachment 3579796
CHAN mlikuwa mnaenda kutoa ushamba renovation ya kasarani ,ila tukisema tufanye comparison ya match attendance ya mpira na entrance fee ,ilitakiwa tuangalia strength ya league.Kujigamba vitu hakuna na chan mlituaibisha kwa kushindwa kuingia viwanjani
sasa bro simba Yanga si ni sport events zenu zote for the whole decade, infact one team itself can make an event that will need Kenya decadesHow many well attended sports events mumehost this year? Ama munangoja Simba na Yanga. 😂 😂 Sisi sio rika yenu bana.
Sawa basi tuleteeni revenue yoyote ya international match yoyote mliyowahi fikisha hata 10mil Toka 1880bc mpaka 2027🤣🤣🤣Kujigamba vitu hakuna na chan mlituaibisha kwa kushindwa kuingia viwanjani
But CHAN is the best Event Kenya has ever had meanwhile wengine hata hawakwenda uwanjan, Infact CHAN ilishafutwa how poor it was ila kwa Kenya ndo world cupKujigamba vitu hakuna na chan mlituaibisha kwa kushindwa kuingia viwanjani
sasa bro simba Yanga si ni sport events zenu zote for the whole decade, infact one team itself can make an event that will need Kenya decades
Ni either hujiamini ama huna jibu.Leta za Kenya sababu league inaendelea unaweza tafuta attendance yake , tuletee za kwenu hasa zile nje ya afc na gor mahia, kwa sababu wewe ndo umezianzisha ,
Na watatuaibisha tena pale AFCON mark this post.Kujigamba vitu hakuna na chan mlituaibisha kwa kushindwa kuingia viwanjani
tushaziweka apo juu, unless huna point ya kuongeaNi either hujiamini ama huna jibu.
But CHAN is the best Event Kenya has ever had meanwhile wengine hata hawakwenda uwanjan, Infact CHAN ilishafutwa how poor it was ila kwa Kenya ndo world cup
Uganda na Tanzania have all attended AFCON back to back, Nyie ni mwaka wa 6 sasa, Nani anaaibisha jumuiya?Na watatuaibisha tena pale AFCON mark this post.
Mliabisha kwa kuvunja mageti ili mkaangalie bureKujigamba vitu hakuna na chan mlituaibisha kwa kushindwa kuingia viwanjani