concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 7,004
- 15,482
Sisi hatuna hizo category za kimaskini ni either ordinary au vip , na the minimum ni 500, hatuna category za kimaskiniNimekuambia unionyeshe regular ya ksh 1000 umeshindwa. Kwenu hio ni VIP.
unaweza ukakuta imefanywa makusudi baada ya kuona hawawezi ku-host the tournament!Haya majamaa ni mafala sana
Ni ju regular wenu hawezi afford ksh 1000Sisi hatuna hizo category za kimaskini ni either ordinary au vip , na the minimum ni 500, hatuna category za kimaskini
Hiyo pesa ndogo sana hapa TZ mdogo wangu. Ligi yenu pambaneni na Somalia and South Sudan.Ni ju regular wenu hawezi afford ksh 1000
Sababu hatuna maskini wengi, wengi wanaweza afford vip seats .Ni ju regular wenu hawezi afford ksh 1000
This according to Samia’s official report so you know the real true number is definitely hundred times higher .Exactly you also excel at Hunger
Ni ju regular wenu hawezi afford ksh 1000
Fake numbers… real numbers over 5000 deadsupporting infrastructure kwenda pale PlasticArena
View: https://x.com/AfricanHub_/status/2022672276701802765?s=20
Ni ju regular wenu hawezi afford ksh 1000
How many well attended sports events mumehost this year? Ama munangoja Simba na Yanga. 😂 😂 Sisi sio rika yenu bana.Sababu hatuna maskini wengi, wengi wanaweza afford vip seats .
Sasa wewe tuletee vvip wa Nairobi aliyewahi lipa 12000 ksh na uwanja ukawa full
Aggrey Mutambo ni Mkenya. Kila mtu anawajua wakenya mnavyoumia kuhusu maendeleo ya TanzaniaFake numbers… real numbers over 5000 dead
View attachment 3579796
Huu sasa ni ujinga. Siyo kila kitu ulazimishe kushinda. Kwenye Football kenya ipo nyuma. Usilazimishe ujingaHow many well attended sports events mumehost this year? Ama munangoja Simba na Yanga. 😂 😂 Sisi sio rika yenu bana.
How many well attended sports events mumehost this year? Ama munangoja Simba na Yanga. 😂 😂 Sisi sio rika yenu bana.
Mtu mzima ushuzi, una force issues.Fake numbers… real numbers over 5000 dead
View attachment 3579796
How many well attended sports events mumehost this year?Kwani league ni simba na yanga? Ebu angalia minimum entrance fee kwa league ya Tanzania , halafu tuambie ni lini club zenu za kawaida ziliweza fikisha revenue hata ya kulingana na fountain gate? Hivi muranga FC Ina capacity ya kumlipa footballer hata 2000 usd per month
How many well attended sports events mumehost this year? Ama munangoja Simba na Yanga. 😂 😂 Sisi sio rika yenu bana.
How many well attended sports events mumehost this year?
Ukiulizwa swali unajibu sio kuuliza swali ingine.Tupe za Kenya kwanza
Pole sana ebu check vibe la jkt versus mbuni FC, hizo ni timu ndogo sana bongo ila check attendance yake compare na za murang'a fcHow many well attended sports events mumehost this year? Ama munangoja Simba na Yanga. 😂 😂 Sisi sio rika yenu bana.