Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hakuna mtanzania anaye wajibu. Wanajitekenya na kujijibu wao kwa wao tu
Issue ya refinery inawauma mno,cha ajabu ni wao ndio wanaolazimisha wajoint kwenye ule mradi,maana ule mradi unaweza kufanya kazi vizuri tu bila uwepo wao,but wanafosi eti waje kusabotage tanga port maana wanajua,s sudan atajoin kwenye ile EACOP
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…