Baba mwenye Nyumba
Member
- Dec 24, 2016
- 9
- 3
We wacha ujinga na upuuzi, sasa ni kitu gani cha ajabu ama kizuri cha kujifunza kutokana na hicho kibuyu cha maji sijui ni libakuli? Labda tushangae bei kuwa juu na ilhali zipo nchi zimejenga viwanja vya michezo mikubwa inayobeba watu wengi kwa bei ndogo kuliko hicho kibuyu. Value for money vs the return of investments hakuna kitachakaa na bado deni hatujamaliza kulipa.
Sasa unaweka picha ya before the event commenced Kujiwaza. Get off your Tandale couch and find out how many countries were represented. How many world and Olympic champions participated. I will give you a hint: USA ๐บ๐ธ, Canada ๐จ๐ฆ, Germany ๐ฉ๐ช, South Africa ๐ฟ๐ฆ, Australia ๐ฆ๐บ, Gabon ๐ฌ๐ฆ, Uganda ๐บ๐ฌ, Ethiopia ๐ช๐น, Nigeria ๐ณ๐ฌ, Botswana ๐ง๐ผ, Sri Lanka ๐ฑ๐ฐ, Czech Republic ๐จ๐ฟ, Belgium ๐ง๐ช, Portugal ๐ต๐น, Spain ๐ช๐ธ, France ๐ซ๐ท, Ukraine ๐บ๐ฆ, Denmark ๐ฉ๐ฐ, Slovakia ๐ธ๐ฐ, Norway ๐ณ๐ด, Turkey ๐น๐ท, Jamaica ๐ฏ๐ฒ, Egypt ๐ช๐ฌ, Hungary ๐ญ๐บ and Iceland ๐ฎ๐ธ.mwaiofhawaii hii ndo international event? Hold in a training pitch?
View attachment 3578994
View attachment 3578996
View attachment 3578997
hii ndo mnatupigia kelele mnaita world event wakati ata village size haijafika? Teargass
Ukiwasikiliza vyura mtoni hutakunywa maji, ndio wakenya waliwabeza waturuki leo wameinama wenyeweTBT ya Teargass
Even America uses diesel, kiko wap? ๐คฃ ๐คฃ
View: https://x.com/moneyacademyKE/status/2047503198689120597?s=20