hamna kitu kama hicho Uganda refinery ipo U/C! Hiyo pipeline ya Kenya ni kwa ajili ya ku-supply Kenya yaani distribution across Kenya! unless iwe extended beyond borders! na sidhani kama Uganda itakuwa tayari kwa hilo wakati yenyewe inajenga refinery yake with 60,000 barrels per day! Refinery hiyo ya Tanga ni sababu itakuwa karibu na Mombasa ambapo kenya pipeline inaanzia na pia kwa ajili ya ku-supply refined fuel overseas! na usisahau kuna uwezekano wa mafuta kugundulika Tanzania, kwahiyo kutegea prospects!Btw wazo lake ni zuri, japokua Hub itakua tanga
View attachment 3578225
kenya will sell oil to all countries in the north kama watakua sharp watapiga pipe kwenda kenya
Uganda the same washanunua Kenya pipeline, wayauza mafuta kwenda kote mpaka chad kule, sudan
Wazo ni zuri sana and it will ensure reserve za hela zinabaki stable since unalipia na local currency yako tu, overall this is a nice idea and it will revolutionize how OIL in 5 years itakua ni unapiga pipe kutoka ethiopia kwenda djibouti
nae djibouti anapiga pipe kwenda eritrea hilo wazo ni zuri sana
ikiwa executed vizuri Tanga italindwa sana ehehehe AU yote itaweka macho pale
sidhan kama Uganda watajenga refinery, its a loss making program kama unajiuzia mafuta kama ni kuuza mafuta to huge scale apo sawa, BTW kenya walikuaga na refinery waliifunga wenyewe!hamna kitu kama hicho Uganda refinery ipo U/C! Hiyo pipeline ya Kenya ni kwa ajili ya ku-supply Kenya yaani distribution across Kenya! unless iwe extended beyond borders! na sidhani kama Uganda itakuwa tayari kwa hilo wakati yenyewe inajenga refinery yake with 60,000 barrels per day! Refinery hiyo ya Tanga ni sababu itakuwa karibu na Mombasa ambapo kenya pipeline inaanzia na pia kwa ajili ya ku-supply refined fuel overseas! na usisahau kuna uwezekano wa mafuta kugundulika Tanzania, kwahiyo kutegea prospects!
watajenga tena at advanced stage! google!!sidhan kama Uganda watajenga refinery, its a loss making program kama unajiuzia mafuta kama ni kuuza mafuta to huge scale apo sawa, BTW kenya walikuaga na refinery waliifunga wenyewe!
Idea ya tanga makes more sense because nchi inaweza kuja kununua mafuta straight Tanga port, Kule uganda sasa atamuuzia nan COngo nae kagundua mafuta
Tabora (Toronto) anaebisha sukuma ndan
View attachment 3577148
ngoja tuonewatajenga tena at advanced stage! google!!
2.4M tourists gave us 452B, 5.36M tourists gave you a revenue of 520B. With the number of tourists being double of Kenya, revenue ya Tanzania tourism should also double Kenyan tourism receipt.
mm i prefer thisyeah those where the dayas
kwangu bora ya huyu mara 1000 atleast he is 100% black and looks like us klk wale mullahs wa iran, pakis au arabs wa tanzagiza wanaotubia, kutuchonganisha na kutuua kila siku, *** them ...
umeelewa swali lakini?2.4M tourists gave us 452B, 5.36M tourists gave you a revenue of 520B. With the number of tourists being double of Kenya, revenue ya Tanzania tourism should also double Kenyan tourism receipt.
In short Tanzania is receiving poor tourists while Kenya is receiving high end tourists.
Tanzania is getting poor tourists compared to Kenya which get very rich tourists. Yani number ya tourists in Tanzania is double ya Kenya lakini when it comes to revenue we are almost the same😂😂🤣umeelewa swali lakini?
ebu read the question tena alafu ujibu, nmekuuliza something different and your answering something differentTanzania is getting poor tourists compared to Kenya which get very rich tourists. Yani number ya tourists in Tanzania is double ya Kenya lakini when it comes to revenue we are almost the same😂😂🤣
I'm not even answering your question. I'm asking you my own question.ebu read the question tena alafu ujibu, nmekuuliza something different and your answering something different